Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Na mmi kwenye note 10 pro nashindwa kutumia upande WA OTG
Nilipohama kwenye Samsung s10e nilikuwa natumia vzr Sana
Ukisoma specification kwa redmi note 10 pro ipo
Siku hizi nimekwama sna kwenye mambo ya movie na baadhi ya documents zangu kuzihamishia kwenye flash
 
Ngoja kuna mtu nimuulize kama Kuna nyingine nitaleta hapa link. Au Kama Una mtu Moshi mjini kuna duka nililiona mwaka Juzi wana Covers za xiaomi zote. Lipo Stand Kubwa chini ya Ghorofa opposite na Choo kinachoitazama Double Road.
Ndio moshi yuko nitamchek nione km atakua na time leo then nikupe feedback ndugu
 
Naomba msaada wa settings ya simu yangu Redmi note 10 pro kama nipo kwnye call iwe inanionyesha notification kuwa kuna mtu mwingine ananipigia
 
Itakuwa labda ni aina ya OTG unayotumia imehalibika huwa zina tabia ya kuchagua sana OTG
 
Naomba msaada wa settings ya simu yangu Redmi note 10 pro kama nipo kwnye call iwe inanionyesha notification kuwa kuna mtu mwingine ananipigia
Sijaelewa bado kuhusu hiyo feature ila ni muhimu kujua kuwa Xiaomi za Global version zinatumia Google Caller kwa hiyo kama hiyo feature haipo kwenye Google caller basi hautaipata kwenye simu yako pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…