Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Laki 5 na nusu unapata "Xiaomi Redmi Note 10 Pro" yenye 4GB RAM na 128GB ROM. Angalia specifications zake hapa Xiaomi Redmi Note 10 Pro: specs, benchmarks, and user reviews

Au ingia Mlimani City, nenda kwenye office za Tigo shop. Nunua "Xiaomi Redmi Note 11" yenye 6GB RAM na 128GB ROM. Bei yake ni exactly 550,000/= fixed ukinunua Tigoshop. Angalia specifications za Redmi Note 11 hapa Xiaomi Redmi Note 11: specs, benchmarks, and user reviews

Redmi Note 10 pia ni chaguo zuri sana, kwa bei hiyo utaipata yenye 6GB RAM na 128GB ROM Xiaomi Redmi Note 10: specs, benchmarks, and user reviews
Kuanzia 350K mpk 450K unanishauri nichukue Redmi ipi yenye ubora Tigo shop ?
 
Redmi 12C hakuna kitu pale, wamedowngrade karibu kila kitu kutoka kwa 10C, pia Redmi 12C ina poor hardware ukilinganisha na Redmi 10C.
Bado Redmi 12C inakuja na MediaTek Helio G85 ambayo ni weak kuliko Snapdragon 680 ya kwenye Redmi 10C
Storage type ya Redmi 12C ni eMMC 5.1 wakati Redmi 10C ina faster UFS 2.2 storage type. Bado Redmi 12C inatumia microUSB, haifai kwa matumizi ya 2023, wakati Redmi 10C inakuja na USB Type C 2.0.
There's no way Redmi 12C ikawa better than Redmi 10C. No wonder inauzwa bei rahisi kushinda 10C
 
Unaokoa zaidi ya 80k ukinunua 12c
 
Short and clear. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom