princ kadur
Member
- Mar 12, 2020
- 62
- 54
Redmi note 10 pro used naweza pata kwa sh ngap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikupe kwa 400kRedmi note 10 pro used naweza pata kwa sh ngap?
Nashindwa kuturn on data server kwenye redmi 12 pro Kwa mtaalam naomba msada
Usiinunue nakushauri, njoo nikuuzie hii nnayotumia kwa bei nafuu tu..ni dual sim haina mbambamba yoyote, ikizingua unanirudishiaWakuu msaada tafadhali, kuna mtu anataka niuzia Redmi note 10 promax. Lakini laini moja wamedeactivate, inasoma laini moja tu. Ukiweka laini mbili yaani kila slot lain yakee, network inapotea kwa lain zote. Baadhi ya wajuzi wanasema inawezekana ni ya magumashi. Vipi kuna namna ya activate tena na lain zote zikasoma!?
Hazina tofauti kubwa sana. Utofauti upo kwenye faster charger RN11P ina 67w. Na refresh rate 120Hz. Kama bei zinakaribiana chukua RN11Pwanaxiomi naomba mnisaidie Kati ya redmi 11 pro na redmi 11S nichukue ipi?
Mkuu hiyo ishakua tu sicrepa ww Rudi dukan chukua mpya 6hrs kwenye maji?? Na unategemea iwake aiseee Acha basHabari watumiaji wa Xiaomi....Nina changamoto kidogo kwenye simu yangu ambayo ni Redmi 10C ilitumbukia ziwani ikanasa kwenye mapango ya mawe na ilikaa Kwa masaa sita kwenye maji sasa baada ya kuitoa kesho yake nikapeleka Kwa fundi alikausha maji na alifanikiwa kuiwasha lakini ilikaa kama nusu saa then ikazima na haikuwaka Tena na fundi ali give up akasema nipeleke Kwa wenye ujuzi Zaid....nikapeleka Kwa fundi mwingine baada ya kuikagua akasema circuit ya simu imekufa na kupata nyingine ni ngumu maana simu yenyewe sio common sana ....naombeni ushauri wenu nikomae kutafuta hiyo circuit au niachane nayo tu na Kwa uzoefu wenu simu itapona au ndo kupoteza muda na pesa??
Lakini si anasema iliwakaMkuu hiyo ishakua tu sicrepa ww Rudi dukan chukua mpya 6hrs kwenye maji?? Na unategemea iwake aiseee Acha bas
Please help me choose!Lakini si anasema iliwaka
Je hakuna uwezekano wa yeye kupata hyo circuit?
Note 12S Tsh ngapi ?Naomba kujua ubora wa redmi note 12s naona kama zimetoka mwaka huu, nimetamani kununua redmi 11 pro au 11s ila naona zimetoma zamani kdg
Ikishafika hatua hii simu ni bora ujipange ununue mpya tu. Mafundi wa kibongo kwenye hizi replacement za parts wako rough sana. Ni mara chache simu itarudi kama ilivyokuwaPlease help me choose!
TZS142,812.91 | Global Version Original Motherboard for Xiaomi Redmi 10c Unlocked Mainboard 128gb 64gb Circuit Logic Board Plate Good Working
![]()
Globale Version Original-Motherboard für Xiaomi Redmi 10c entsperrte Mainboard 128GB 64GB Schaltung Logik platine Platte gut funktioniert - AliExpress 509
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
Ongeza shiling 40 chukua mi 11lite 5g Ne aliexpress imepoa ila jiwe kali sanawadau mnasemaje kuhusu redmi note 12 pro explorer edition, naona inakaribiana bei na 11 pro ila yenyewe ni mpya kabisa ndio zimetoka, wataalamu naomba ufafanunuzi kama iko poa nichukue ikiwa bado kwenye bei ya ofa
TZS513,509.30 20%OFF | Global ROM Xiaomi Redmi Note 12 Pro Explorer Edition 108MP Triple Camera Snapdragon 778G 67W Fast Charge 120Hz Display
![]()
Global rom xiaomi redmi note 12 pro explorer edition 108mp dreifach kamera snapdragon 778g 67w schnell aufladen 120hz display - AliExpress 509
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
shukran Kwa ushauri mkuu, nimejaribu lakini nimekutana na changamoto ya Makato, Yan voda Mastercard wanakata zaidi ya 50,000 Kwa malipo ya laki 6 tu, nyie wenzangu mnafanyajeOngeza shiling 40 chukua mi 11lite 5g Ne aliexpress imepoa ila jiwe kali sana
Umetumia app gani kuipata hio simu mkuushukran Kwa ushauri mkuu, nimejaribu lakini nimekutana na changamoto ya Makato, Yan voda Mastercard wanakata zaidi ya 50,000 Kwa malipo ya laki 6 tu, nyie wenzangu mnafanyaje
Tumia Prepaid ya BancAbc rate ni 2550shukran Kwa ushauri mkuu, nimejaribu lakini nimekutana na changamoto ya Makato, Yan voda Mastercard wanakata zaidi ya 50,000 Kwa malipo ya laki 6 tu, nyie wenzangu mnafanyaje
alliexpressUmetumia app gani kuipata hio simu mkuu