Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nashindwa kuturn on data server kwenye redmi 12 pro Kwa mtaalam naomba msada

Ingia humu utapata msaada kwa haraka zaidi,siku hizi wadau wengi tumehamia telegram na hili ndiyo group letu,utapata pia fursa ya kujifunza vitu vingi sana kwenye dunia ya technology.
 
Wakuu msaada tafadhali, kuna mtu anataka niuzia Redmi note 10 promax. Lakini laini moja wamedeactivate, inasoma laini moja tu. Ukiweka laini mbili yaani kila slot lain yakee, network inapotea kwa lain zote. Baadhi ya wajuzi wanasema inawezekana ni ya magumashi. Vipi kuna namna ya activate tena na lain zote zikasoma!?
Usiinunue nakushauri, njoo nikuuzie hii nnayotumia kwa bei nafuu tu..ni dual sim haina mbambamba yoyote, ikizingua unanirudishia

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Wakuu redim 9 ukitaka kuscan WiFi unaingia wapi maaana nmejaribu kutafta mpaka nmechoka Sion hiyo option aiseee
 
Habari watumiaji wa Xiaomi....Nina changamoto kidogo kwenye simu yangu ambayo ni Redmi 10C ilitumbukia ziwani ikanasa kwenye mapango ya mawe na ilikaa Kwa masaa sita kwenye maji sasa baada ya kuitoa kesho yake nikapeleka Kwa fundi alikausha maji na alifanikiwa kuiwasha lakini ilikaa kama nusu saa then ikazima na haikuwaka Tena na fundi ali give up akasema nipeleke Kwa wenye ujuzi Zaid....nikapeleka Kwa fundi mwingine baada ya kuikagua akasema circuit ya simu imekufa na kupata nyingine ni ngumu maana simu yenyewe sio common sana ....naombeni ushauri wenu nikomae kutafuta hiyo circuit au niachane nayo tu na Kwa uzoefu wenu simu itapona au ndo kupoteza muda na pesa??
Mkuu hiyo ishakua tu sicrepa ww Rudi dukan chukua mpya 6hrs kwenye maji?? Na unategemea iwake aiseee Acha bas
 
Lakini si anasema iliwaka
Je hakuna uwezekano wa yeye kupata hyo circuit?
Please help me choose!
TZS142,812.91 | Global Version Original Motherboard for Xiaomi Redmi 10c Unlocked Mainboard 128gb 64gb Circuit Logic Board Plate Good Working
 
wadau mnasemaje kuhusu redmi note 12 pro explorer edition, naona inakaribiana bei na 11 pro ila yenyewe ni mpya kabisa ndio zimetoka, wataalamu naomba ufafanunuzi kama iko poa nichukue ikiwa bado kwenye bei ya ofa

TZS513,509.30 20%OFF | Global ROM Xiaomi Redmi Note 12 Pro Explorer Edition 108MP Triple Camera Snapdragon 778G 67W Fast Charge 120Hz Display
 
Please help me choose!
TZS142,812.91 | Global Version Original Motherboard for Xiaomi Redmi 10c Unlocked Mainboard 128gb 64gb Circuit Logic Board Plate Good Working
Ikishafika hatua hii simu ni bora ujipange ununue mpya tu. Mafundi wa kibongo kwenye hizi replacement za parts wako rough sana. Ni mara chache simu itarudi kama ilivyokuwa
 
wadau mnasemaje kuhusu redmi note 12 pro explorer edition, naona inakaribiana bei na 11 pro ila yenyewe ni mpya kabisa ndio zimetoka, wataalamu naomba ufafanunuzi kama iko poa nichukue ikiwa bado kwenye bei ya ofa

TZS513,509.30 20%OFF | Global ROM Xiaomi Redmi Note 12 Pro Explorer Edition 108MP Triple Camera Snapdragon 778G 67W Fast Charge 120Hz Display
Ongeza shiling 40 chukua mi 11lite 5g Ne aliexpress imepoa ila jiwe kali sana
 
Back
Top Bottom