Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
Naskia kuna service za kutoa bootloader ila za kulipia, sijafuatilia.I just found this on AliExpress:
TZS1,387,561.30 | Xiaomi Redmi Turbo 3 5G 6.67” 1.5K 2712*1220 Display Snapdragon 8s Gen 3 50MP+20MP Camera 90W 5000mAh China Rom
Xiaomi Redmi Turbo 3 5G 6,67 Zoll 1,5K 2712*1220 Display Snapdragon 8s Gen 3 50MP+20MP Kamera 90W 5000mAh China Rom
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
View attachment 3374364
Angalizo! Hizi sumu ni Chinese version, na kwasasa uwezekano wa ku unlock bootloader na kuweka globe rom haupo, labda uchukue used ndio utapata tayari wameweka globe rom.
ni nzuri?Mi 6
Ni kweli kabisa! Ku unlock bootloader hasara ni nyingi kuliko faida, hata iwe free siihitaji kwa sasa.Sema siku hizi ku unlock bootloader unless simu sio main driver not worth it, app zote za benki na miamala ya simu ukitrip safety net zinaanza kuzingua.
Hii kwa jina lingine ndo inaitwa Poco F6Lina bei gani hilo jiwe.
Nunua Xiaomi 14T kabisa, achana na Redmi. Tena hiyo unapata hapa hapa Bongo bila hata kuagizaNina milioni natafuta latest ya Redmi
Bilq hata kwenda mbali, NMB mkononi kwenye simu yangu inazingua kama nikiwasha Developer Option. Inataka nizime kwanza Developer optionsNaskia kuna service za kutoa bootloader ila za kulipia, sijafuatilia.
Sema siku hizi ku unlock bootloader unless simu sio main driver not worth it, app zote za benki na miamala ya simu ukitrip safety net zinaanza kuzingua.
Ukiwa mtaalam wa magisk zipo addons za ku hide, Nina Op7 ina root natumia Magsik Alpha na addons mbalimbali ku hide.Bilq hata kwenda mbali, NMB mkononi kwenye simu yangu inazingua kama nikiwasha Developer Option. Inataka nizime kwanza Developer options
Na hiyo Bootloader Unlocking pia ndo nasikia hivyo, kwamba uki unlock bootloader hizo app zinazingua pia
Nimehamia Samsung Ndugu ngoja nijaribu ndoa mpyaNunua Xiaomi 14T kabisa, achana na Redmi. Tena hiyo unapata hapa hapa Bongo bila hata kuagiza
Sema huenda imetengenezwa na ma IT wa Bongo ndo maana ipo hovyoUkiwa mtaalam wa magisk zipo addons za ku hide, Nina Op7 ina root natumia Magsik Alpha na addons mbalimbali ku hide.
Sema ndio mnakimbizana, wakitoa update mpya ina goma, unaanza tena kutafuta solution wee, sometime ni usumbufu hasa kama unatumia simu yako kujiingizia kipato.
Hao Nmb app yao ni ya kijinga tu, ina goma simu kibao hata kama hazina tatizo, Nina s22U haijaguswa, sio hata refurb ila wanasema ina root app ina exit, hata Developer option haipo on. Angalia rating ya app yao store ilivyo ndogo.
Samsung ni nzuri pia. Endelea ku enjoyNimehamia Samsung Ndugu ngoja nijaribu ndoa mpya
Tupe linkHivi hizi bei za AliExpress ni za kweli au Magumashi?
Tutakua Tunaongelea app tofauti, Naongelea hiiSema huenda imetengenezwa na ma IT wa Bongo ndo maana ipo hovyo
Ila rating yake Playstore sio mbaya ina 4.2
Yeah... Si ndio hiyo ina 4.2 au kwako inaonesha ngapiTutakua Tunaongelea app tofauti, Naongelea hii
Yeah... Si ndio hiyo ina 4.2 au kwako inaonesha ngapi View attachment 3380343
Sema Wabongo ndo shida. Naona hapo mtu anaponda kwenye comment halafu ameipa 5 star rating
Badilisha betri weka jingine. Kama bado unaipenda unaendelea kuitumia kama umeichoka unaiuza. Ila badili betri kwanzaNina Redmi note 10 pro, naona mfuniko wa nyuma haufungi tena vizuri, nimepeleka kwa fundi acheki, kaniambia ni betri imevimba..
Ndiyo kwa rate ya USA ni 3.6 Stars [emoji294] ila ukiweka location ya Bongo eti ina 4.2View attachment 3380692
Kwangu 3.4, ila mimi natumia region ya Usa maybe ndio maana.
Tatizo betri za bongo naona ni famba, betri 40000 siyo shida ila changamoto naona mda si mrefu zitajirudia,Badilisha betri weka jingine. Kama bado unaipenda unaendelea kuitumia kama umeichoka unaiuza. Ila badili betri kwanza
Crdb pia ni mbongo alietuliza akili na ni mtoto wa waziri mmoja ambaye wasanii wa kale walimtungia dadaake nyimbo alipopigwa ujauzito akiwa skuli hapo jiji la marahaSema huenda imetengenezwa na ma IT wa Bongo ndo maana ipo hovyo
Ila rating yake Playstore sio mbaya ina 4.2