Hiyo ni mpaka ntaipata mkononi?400k-450k
Ndio mkuuHiyo ni mpaka ntaipata mkononi?
Simu gani hii
Xiaomi redmi 5 plus (redmi note 5)Simu gani hii
Hadi muda huu kwa Xiaomi kuliteka soko la smartphone nchini India, nini kilichochangia wakati jamaa hawana physical stores? Na kwann zinakuwa na bei nafuu huku zikiwa zina ubora wa hali juu?sasa hivi ni brand kubwa mkuu, time to time wanaingia top 5 manufacture wa simu duniani kimauzo. pia wanajitahidi ku poach talents toka makampuni makubwa mfano HUGO Barra walimchukua Toka Google,
Hugo Barra ameshika vyeo vingi sana Google upande wa Android hadi kufikia Kuwa vice president wa Android. mwaka 2013 Xiaomi wakamchukua, mpaka hii 2017 ndio ameondoka.
Pia Xiaomi kwenye Hardware ni wa wazi sana kila kitu wanachotumia wanakisema, hvyo unajua kabisa unanunua nini, tofauti na wachina wengine ambao specs utajua mwenyewe utazipata wapi, hawasemi kitu.
kuna jamaa yangu India ameniambia wameshaeka physical store India.Hadi muda huu kwa Xiaomi kuliteka soko la smartphone nchini India, nini kilichochangia wakati jamaa hawana physical stores? Na kwann zinakuwa na bei nafuu huku zikiwa zina ubora wa hali juu?View attachment 735570
kuna jamaa yangu India ameniambia wameshaeka physical store India.
wanauza rahisi sababu hawatumii premium material na wanaondoa vitu visivyo na maana au uhitaji mkubwa kwa watu, mfano
-simu zao nyingi sio water proof
-hazina wireless charging
-camera hazina OIS
-hawatumii super amoled kwenye simu nyingi etc
soma hii article ya muda kidogo
Xiaomi founder Lei Jun explains why his company doesn't do waterproof phones
utaona hapo huyo mwanzilishi wa Xiaomi anasema water proof tu inaongeza gharama karibu asilimia 20 mpaka 30 ya simu. hivyo simu kama redmi note 4 ingekuwa waterproof gharama zingetoka dola 150 mpaka 200, bado kueka amoled kuongeza dola 10 au 20 plus ois mwisho wa siku ingekuwa ghali kama Samsung A series.
Hata hao samsung wana simu zao mfano j7 nxt ni bei rahisi kushinda hata xiaomi za same category, Aggrey ipo kwa laki 4 na masoko kama india ni rs chini ya 10,000, lakini ukiishika tu simu unaona haivutii, plastic, kioo sio kizuri kama A series etc
Samsung Galaxy J7 Nxt (Black, 16 GB) Online at Best Price with Great Offers Only On Flipkart.com
soma vizuri j7 nxtMkuu kwa hiyo xiaomi hazivutii?
Chief,kuna jamaa yangu India ameniambia wameshaeka physical store India.
wanauza rahisi sababu hawatumii premium material na wanaondoa vitu visivyo na maana au uhitaji mkubwa kwa watu, mfano
-simu zao nyingi sio water proof
-hazina wireless charging
-camera hazina OIS
-hawatumii super amoled kwenye simu nyingi etc
soma hii article ya muda kidogo
Xiaomi founder Lei Jun explains why his company doesn't do waterproof phones
utaona hapo huyo mwanzilishi wa Xiaomi anasema water proof tu inaongeza gharama karibu asilimia 20 mpaka 30 ya simu. hivyo simu kama redmi note 4 ingekuwa waterproof gharama zingetoka dola 150 mpaka 200, bado kueka amoled kuongeza dola 10 au 20 plus ois mwisho wa siku ingekuwa ghali kama Samsung A series.
Hata hao samsung wana simu zao mfano j7 nxt ni bei rahisi kushinda hata xiaomi za same category, Aggrey ipo kwa laki 4 na masoko kama india ni rs chini ya 10,000, lakini ukiishika tu simu unaona haivutii, plastic, kioo sio kizuri kama A series etc
Samsung Galaxy J7 Nxt (Black, 16 GB) Online at Best Price with Great Offers Only On Flipkart.com
tunafanyeje sasa mzee mana yangu ni Mi 5s plusmimi yangu haina ni chinese version
Zinakuja kwa kuagiza online, hazipatikani kirahisi hapa TZ.Mi A1 bei yake iko vipi kwa hapa bongo?
umewahi update kimoja wapo? pc au simu? jaribu kueka upya driversChief,
Mi natumia MI 5s plus, lkn USB port yake haikubali kwenye Pc yangu ya window 10, mwanzon ilikuwa inakubali lkn nw inazingua.
Nifanyejee mzee baba
unatumia line gani? simu yako inakubali 4g ya band 3 (1800) na 40 (2300)Chief-Mkwawa inakuaje mzee nna tatizo moja kweny xiaomi yangu haishik 4g mzee ni xiaomi mi max 2
Chief nimeona hii redmi 4x YouTube inafanyiwa test ya water resistant kwa kutumia coca cola ilikuwa inashindanishwa na galaxy s8 zote zikawa fresh baada ya test ila hii 4x ilionekana bora kulinganisha na price yakekuna jamaa yangu India ameniambia wameshaeka physical store India.
wanauza rahisi sababu hawatumii premium material na wanaondoa vitu visivyo na maana au uhitaji mkubwa kwa watu, mfano
-simu zao nyingi sio water proof
-hazina wireless charging
-camera hazina OIS
-hawatumii super amoled kwenye simu nyingi etc
soma hii article ya muda kidogo
Xiaomi founder Lei Jun explains why his company doesn't do waterproof phones
utaona hapo huyo mwanzilishi wa Xiaomi anasema water proof tu inaongeza gharama karibu asilimia 20 mpaka 30 ya simu. hivyo simu kama redmi note 4 ingekuwa waterproof gharama zingetoka dola 150 mpaka 200, bado kueka amoled kuongeza dola 10 au 20 plus ois mwisho wa siku ingekuwa ghali kama Samsung A series.
Hata hao samsung wana simu zao mfano j7 nxt ni bei rahisi kushinda hata xiaomi za same category, Aggrey ipo kwa laki 4 na masoko kama india ni rs chini ya 10,000, lakini ukiishika tu simu unaona haivutii, plastic, kioo sio kizuri kama A series etc
Samsung Galaxy J7 Nxt (Black, 16 GB) Online at Best Price with Great Offers Only On Flipkart.com
Mkuu kwa hapa Tanzania hizo simu zinapatikanaje mkuuunatumia line gani? simu yako inakubali 4g ya band 3 (1800) na 40 (2300)
hivyo mitandao hii inakufaa
-Vodacom 4g
-TTCL 4g
-Smart 4g
na tigo pia itashika 4g lakini mjini tu,
Umeambiwa fanya hivi agiza online mkuu huu uzi umeeleza kila kitu tusiwe wavivu sana kusoma pale tunapokuwa tunaihitaji wa kitu.Mkuu kwa hapa Tanzania hizo simu zinapatikanaje mkuu
Huwa zinaagizwa direct toka chinaMkuu kwa hapa Tanzania hizo simu zinapatikanaje mkuu