mbusage
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 447
- 122
Ƴes uko sahihiNi simu nzuri sana watu hawajui tu. Mimi niliagiza Beijing 2014, bado chuma kabisa. Niliweka protector kutunza screen ikagoma kufanya kazi ikasema remove protector. Kioo kama kilivyotka dukani mpaka leo. Hakuna mkwaruzo hata kidogo!