KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Tuambieni mmenunulia maduka gani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agiza www.geekbuying.com au aliexpress zinafika bila zengwe!Tuambieni mmenunulia maduka gani!
Mkuu ina play store au haina nikupe ujanja flaniKweli na mimi ninayo. Nzuri sana. Ila yangu ni ya kichina... mambo mengi ni kichina nilinunua Beijing , it was for China consumers. Kuna vitu vinanipiga chenga kwa sababu ya lugha.
haina ndilo moja wapo ya matatizo yakeMkuu ina play store au haina nikupe ujanja flani
Rahisi sana ngoja nikupe link uinstall kola kitu na ule maisha ndugu ni aina gani hio simu yakohaina ndilo moja wapo ya matatizo yake
https://0.freebasics.com/upsells?p=...why=not_zero_rated&service_id=925946837445621Rahisi sana ngoja nikupe link uinstall kola kitu na ule maisha ndugu ni aina gani hio simu yako
Mkiwa nazo wachache ndio zinakuwa kiboko?hizo simu kiboko tunazo wachache sana hapa bongo!
Nimetumia aina zote za simu ila believe me iphone na xiaomi ni gumzo!!! Sema iphone haina uhuru wa kufanya mambo mengi kama android ila xiaomi ni best kwangu mimi we endelea tu na tu na unachokiamini ni bora au na wewe ni chizi mabrandy kwamba ukisikia tu sony sijui lg sijui nn unaamini ndio basiMkiwa nazo wachache ndio zinakuwa kiboko?
Hilo jina ukisoma kwa uangalifu utagundua kuwa hizo ni "KICHOMI"
Hapana, siyo kichomi. Hilo ni jina kubwa sana kama lilivyo Apple ndo maana inaitwa Apple of China. Ninatumia Xiaomi mi5 iko vizuri sana kuanzia chaji, inakaa na chaji pia betri yake ni kubwa camera zote ziko vizuri sana. Simu ina zaidi ya mwaka haijawahi kuleta shida yoyote, jinsi ilivyo bora nikitoka kwa hii naenda mi 6.Mkiwa nazo wachache ndio zinakuwa kiboko?
Hilo jina ukisoma kwa uangalifu utagundua kuwa hizo ni "KICHOMI"
Narudia swali ambalo hujalijibu.Nimetumia aina zote za simu ila believe me iphone na xiaomi ni gumzo!!! Sema iphone haina uhuru wa kufanya mambo mengi kama android ila xiaomi ni best kwangu mimi we endelea tu na tu na unachokiamini ni bora au na wewe ni chizi mabrandy kwamba ukisikia tu sony sijui lg sijui nn unaamini ndio basi
Hii yangu ni mi5 niliagiza India kwa Rs 22,999 mwaka jana. Jaribu Kariakoo waweza pata. Au agiza kwa AliExpress ama Ebay itafika bila shida.Tuambieni mmenunulia maduka gani!
AsanteHakikisha una internet ya kutosha kisha fata hio link niliokupa kama itakubali nipe mrejesho sidhani kama imekaa vizuri iache iinstall kila kitu yenyewe mpaka mwisho ndugu yangu
Ni simu nzuri sana watu hawajui tu. Mimi niliagiza Beijing 2014, bado chuma kabisa. Niliweka protector kutunza screen ikagoma kufanya kazi ikasema remove protector. Kioo kama kilivyotka dukani mpaka leo. Hakuna mkwaruzo hata kidogo!Hii yangu ni mi5 niliagiza India kwa Rs 22,999 mwaka jana. Jaribu Kariakoo waweza pata. Au agiza kwa AliExpress ama Ebay itafika bila shida.
Ni simu nzuri sana watu hawajui tu. Mimi niliagiza Beijing 2014, bado chuma kabisa. Niliweka protector kutunza screen ikagoma kufanya kazi ikasema remove protector. Kioo kama kilivyotka dukani mpaka leo. Hakuna mkwaruzo hata kidogo!Hapana, siyo kichomi. Hilo ni jina kubwa sana kama lilivyo Apple ndo maana inaitwa Apple of China. Ninatumia Xiaomi mi5 iko vizuri sana kuanzia chaji, inakaa na chaji pia betri yake ni kubwa camera zote ziko vizuri sana. Simu ina zaidi ya mwaka haijawahi kuleta shida yoyote, jinsi ilivyo bora nikitoka kwa hii naenda mi 6.
Kwa maswala ya battery soma hapaHapana, siyo kichomi. Hilo ni jina kubwa sana kama lilivyo Apple ndo maana inaitwa Apple of China. Ninatumia Xiaomi mi5 iko vizuri sana kuanzia chaji, inakaa na chaji pia betri yake ni kubwa camera zote ziko vizuri sana. Simu ina zaidi ya mwaka haijawahi kuleta shida yoyote, jinsi ilivyo bora nikitoka kwa hii naenda mi 6.