Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hapana, siyo kichomi. Hilo ni jina kubwa sana kama lilivyo Apple ndo maana inaitwa Apple of China. Ninatumia Xiaomi mi5 iko vizuri sana kuanzia chaji, inakaa na chaji pia betri yake ni kubwa camera zote ziko vizuri sana. Simu ina zaidi ya mwaka haijawahi kuleta shida yoyote, jinsi ilivyo bora nikitoka kwa hii naenda mi 6.
Naona unatambua maana ya ukubwa wa jina.
Unachoweza kutuambia ni kuwa simu hizo zina ubora sawa na thamani yake.
Kichomi weka mbali na watoto.
 
Narudia swali ambalo hujalijibu.
Mkiwa nazo wachache ndio zinakuwa kiboko?

Hilo 'gumzo' wanazungumza kuhusu nini juu ya hizo "kichomi"
(kila nikijaribu kusoma ndio naona zinavyosomeka)
Daah we jamaa mungu anakuona ujue.... Eti nini kichomi? Hahahahaaaa
 
Inategemeana na aina ila kariakoo nasikia zipo, mi nilinunua Hong Kong $112.00 na hakuruhusu ununue zaidi ya mbili maana ndo walikuwa wame launch. Nilitaka Tecno lakin hong Kong nzima hakuna tecno ndo wakanishauri Xiaomi. Maana ni copy and paste ya Apple
Kweli na mimi beijing walikataa zaidi ya mbili wanasema you and spouse. Nilinunua equivalent of 350,000 tsh. Nimeanfika hapa kuwa niliweka protector ikagoma kufanya kazi. Ikaja pop msg kuwa ondoa protector. Mpaka leo hakuna mkwaruzo kwenye kioo mwaka wa tatu.
 
Hii tabia ya kununua simu kwa kuangalia shape ni mbaya Sana. Kwa nini usitafute simu nzuri na brand inajulikana? Niwe mkweli tu hiyo brand siwezi kutumia.
sasa hivi ni brand kubwa mkuu, time to time wanaingia top 5 manufacture wa simu duniani kimauzo. pia wanajitahidi ku poach talents toka makampuni makubwa mfano HUGO Barra walimchukua Toka Google,

Hugo Barra ameshika vyeo vingi sana Google upande wa Android hadi kufikia Kuwa vice president wa Android. mwaka 2013 Xiaomi wakamchukua, mpaka hii 2017 ndio ameondoka.

Pia Xiaomi kwenye Hardware ni wa wazi sana kila kitu wanachotumia wanakisema, hvyo unajua kabisa unanunua nini, tofauti na wachina wengine ambao specs utajua mwenyewe utazipata wapi, hawasemi kitu.
 
Asante kwa mchango wako kaka tuko pamoja ila nimeikoroga device yangu hapa kuna sehem nimegusa sasa nikipigiwa inatoa mwanga kwenye flashlight ya kamera plz natoaje hio setting
 
Asante kwa mchango wako kaka tuko pamoja ila nimeikoroga device yangu hapa kuna sehem nimegusa sasa nikipigiwa inatoa mwanga kwenye flashlight ya kamera plz natoaje hio setting
Lakini pia kwa kua wewe ni mtaalam na pia wengine wale ambao wana ujuzi wa teknolojia tunaomba mtusaidie kitu hapa.
Tuwekeeni mambo makubwa ambayo user wa kawaida anaweza kua hayatumii ila ni ya faida sana kwake kwa kuzingatia specs za simu za xiaomi mfano mimi ninatumia redmi note 4pro
 
Back
Top Bottom