Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

sasa hivi ni brand kubwa mkuu, time to time wanaingia top 5 manufacture wa simu duniani kimauzo. pia wanajitahidi ku poach talents toka makampuni makubwa mfano HUGO Barra walimchukua Toka Google,

Hugo Barra ameshika vyeo vingi sana Google upande wa Android hadi kufikia Kuwa vice president wa Android. mwaka 2013 Xiaomi wakamchukua, mpaka hii 2017 ndio ameondoka.

Pia Xiaomi kwenye Hardware ni wa wazi sana kila kitu wanachotumia wanakisema, hvyo unajua kabisa unanunua nini, tofauti na wachina wengine ambao specs utajua mwenyewe utazipata wapi, hawasemi kitu.
Chief nahitaji device hizo wapi ntapata original yenye 4g! Tablet!
 
Asante kwa mchango wako kaka tuko pamoja ila nimeikoroga device yangu hapa kuna sehem nimegusa sasa nikipigiwa inatoa mwanga kwenye flashlight ya kamera plz natoaje hio setting
setting then call then incoming call utaiona sehemu ya kueka on na off.
 
Mkuu hebu tuwekee ile link ya kuinstall google services watu waenjoy mimi nashindwa iweka hapa kaka
huwa kikawaida inakuwepo store inayokuja na hizo xiaomi za china, ukiingia store andika tu google unaipata.

alternative unaidownload hapa

Google Installer_2.0.apk

hakikisha una mb za kutosha kama 500 hivi then run hio app kwenye xiaomi yako itaeka app zote muhimu za google.
 
sasa hivi ni brand kubwa mkuu, time to time wanaingia top 5 manufacture wa simu duniani kimauzo. pia wanajitahidi ku poach talents toka makampuni makubwa mfano HUGO Barra walimchukua Toka Google,

Hugo Barra ameshika vyeo vingi sana Google upande wa Android hadi kufikia Kuwa vice president wa Android. mwaka 2013 Xiaomi wakamchukua, mpaka hii 2017 ndio ameondoka.

Pia Xiaomi kwenye Hardware ni wa wazi sana kila kitu wanachotumia wanakisema, hvyo unajua kabisa unanunua nini, tofauti na wachina wengine ambao specs utajua mwenyewe utazipata wapi, hawasemi kitu.
Ahsante Kwan ufafanuzi mkuu. Nakuaminia Sana kwenye hili jukwaa wewe ni m1 wa watu wanaolitendea Haki jukwaa hili. Lakini waache mgambo watangulie sie tutakuja.

Kingine mkuu Nina 250k ninaweza pata simu ipi nzuri Kwa bei hiyo brand owe sumsang.

Natanguliza shukrani mkuu Chifu mkwawa
 
mkuu hapo labda j3 unaweza pata bei hio au j5 kama utaongeza kidogo.
 
Pia unaweza flash global ROM ambayo iko full English na hizo Google playservice. Hizo global ROM ziko official kwenye website yao pamoja na guide yake ya kuflash ambayo ni simple tu.
Nipe maelezo ya kina ya kufanya hio kitu plz ndugu
 
Back
Top Bottom