Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 738
Hawajui simu hao.... ndo wale wale wazee wa duroXiaomi unaweza kujikuta mtaa mzima unayo peke yako,bado hazijaingia bongo sishangai watu kusema hii simu kichomi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajui simu hao.... ndo wale wale wazee wa duroXiaomi unaweza kujikuta mtaa mzima unayo peke yako,bado hazijaingia bongo sishangai watu kusema hii simu kichomi
Endelea kukaririshwa kaka ipo siku utakua na akili tegemeziHawajui simu hao.... ndo wale wale wazee wa duro
Nawezaje kuipdate simu yangu kwenda miu 9Mwaka wa tatu huu sijawahi juta kabisa kwa kile nilicholipia
Napenda wanavyo update room zao now naenjoy mui9
I cloud ni mlinzi tosha wa hii phone
Vizuri ukaagiza Aliexpress...download app ama ingia kwa website yao then agiza mkuu...cmpo tu tena naona saiv kuna version mpya nyngi nyngi zimetoka kama redmi 4x, Mi 6, Mi Mix..yaaani hutajuta...Chief nahitaji device hizo wapi ntapata original yenye 4g! Tablet!
Xiaomi for now...Oppo bado wana lack behind Xiaomi...Oppo vs Xiaomi
Kampuni ipi inatoa simu nzuri?
Top Selling smartphone company in china and India...Still bado utasema brand haijulikani. ? huijui wewe tu coz hujawah fatiliaHii tabia ya kununua simu kwa kuangalia shape ni mbaya Sana. Kwa nini usitafute simu nzuri na brand inajulikana? Niwe mkweli tu hiyo brand siwezi kutumia.
Aksante Kiongozi!!Vizuri ukaagiza Aliexpress...download app ama ingia kwa website yao then agiza mkuu...cmpo tu tena naona saiv kuna version mpya nyngi nyngi zimetoka kama redmi 4x, Mi 6, Mi Mix..yaaani hutajuta...
kama ukitaka kuagiza kabla ya checkout hakikisha umechagua Global ROM(hii ina google play service na store)
mkuu top wa china ni baina ya Oppo na huawei tena position zote nne ya kwanza hadi 4. Huawei ana brand mbili yaani Huawei wenyewe na Honor, Oppo nae ana brand mbili za Oppo na ViVO.Top Selling smartphone company in china and India...Still bado utasema brand haijulikani. ? huijui wewe tu coz hujawah fatilia
Nipo na One Plus 2 Sijawahi ijutiamkuu top wa china ni baina ya Oppo na huawei tena position zote nne ya kwanza hadi 4. Huawei ana brand mbili yaani Huawei wenyewe na Honor, Oppo nae ana brand mbili za Oppo na ViVO.
Tatizo la xiaomi hana physical store ndio maana kila siku anaachwa, wenzake hadi India vijijini huko wamefika.
Wekeni picha tuzione
oneplus, oppo, vivo ni baba mmoja mama mmojaNipo na One Plus 2 Sijawahi ijutia
Labda uagize huko jikoni maana hapa Tanzania watakugonga parefuHv hizi simu kwa Tanzania zinapatikana wapi?
Oppo naikubali sana hio simu, camera yake ni bad news.Oppo F3 Plus na iPhone 7