Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mwaka wa tatu huu sijawahi juta kabisa kwa kile nilicholipia
Napenda wanavyo update room zao now naenjoy mui9
I cloud ni mlinzi tosha wa hii phone
 
Kuna njia mbili moja ni kuchake update officially au kwa kudownload room na kuinstall kwa kuiflash hapa lazima uwe na elimu ya Nini unachofanya.
 
nipo nakula asali ya redmi 3x
11a753ce0eeafb0e9bce583388384938.jpg
 
Chief nahitaji device hizo wapi ntapata original yenye 4g! Tablet!
Vizuri ukaagiza Aliexpress...download app ama ingia kwa website yao then agiza mkuu...cmpo tu tena naona saiv kuna version mpya nyngi nyngi zimetoka kama redmi 4x, Mi 6, Mi Mix..yaaani hutajuta...
kama ukitaka kuagiza kabla ya checkout hakikisha umechagua Global ROM(hii ina google play service na store)
 
bed9813362e656886bb7179a3438ac7e.jpg

acha niendelee kufurahia redmi 3x yangu...nkiwaonaga wenye tecno na cm zngne hua najivunia sana...maana kuna watu wana iphone hawana ata uhuru wanachojivunia ni ile logo tu wakat hata audio / video / mpaka wahangaike hangaike kuziweka kwa cm zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Vizuri ukaagiza Aliexpress...download app ama ingia kwa website yao then agiza mkuu...cmpo tu tena naona saiv kuna version mpya nyngi nyngi zimetoka kama redmi 4x, Mi 6, Mi Mix..yaaani hutajuta...
kama ukitaka kuagiza kabla ya checkout hakikisha umechagua Global ROM(hii ina google play service na store)
Aksante Kiongozi!!
 
Top Selling smartphone company in china and India...Still bado utasema brand haijulikani. ? huijui wewe tu coz hujawah fatilia
mkuu top wa china ni baina ya Oppo na huawei tena position zote nne ya kwanza hadi 4. Huawei ana brand mbili yaani Huawei wenyewe na Honor, Oppo nae ana brand mbili za Oppo na ViVO.

Tatizo la xiaomi hana physical store ndio maana kila siku anaachwa, wenzake hadi India vijijini huko wamefika.
 
Nipo na One Plus 2 Sijawahi ijutia
 
Back
Top Bottom