Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mwenye kujua sehemu wanapouza original power bank za Xiaom kwa Dar anijuze tafadhali
 
Infinix hamna kitu, kuna Dogo nilitaka kumuachia Xiaomi Redmi 4A kwa tsh 240,000 akaidharau kwavile ina lebo ya China mobile kwa nyuma.
Akaenda kuchukua Infinix zero 4.
Miezi 3 Sasa Xiaomi bado ipo vile vile kama mpya ila jamaa Infinix yake imepiga shoti tayari hivyo ela imeenda
Mhhh nilikua ninampango wa kununua Infinix note3 lkn nimegairi bora nibaki na Samsung mega yangu

mKUU MNAJADILI HAKUNA HATA PICHA ZAKE TUONE HIYO Xiaomi inafananaje?
 
Hello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Ya kwangu watoto wa mbwa waliichukua kama yao
 
Ipo Dar ?.....naitaka
Kwa wale wanaofanya kazi na wachina labda unaweza kupata maana ndio wengi wao wanazitumia Ila ni wagumu sana kumuuzia mtu atakuuzia nyingine sio hiyo pia unaweza kumuagiza akakuletea kama mnaelewana sana vinginevyo utamuagiza hiyo atakuletea nyingine
 
Pole ila kuna mtu anauza kupatana bei kitonga sana waweza mcheki huko mimi nafaidi tu mambo ya dual apps na mengine
Sasa nimeamua nitatumia Tecno tu, maana hii hata wakichukua baada ya dk. 20 ninayo nyingine labda baadae sana, niliumia sana na bado sijaisahau
 
Back
Top Bottom