Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

LeeCo le pro3
Simu kali sana
16165da3dc65ab36044890f824872447.jpg
 
hawa jamaa wame expand bila kufikiria na kununua nunua makampuni hovyo, sasa hivi wapo mahututi, enjo simu yako sasa hivi pengine usipate simu nyengine ya le eco.
Duh hawa jamaa walitaka kufanya vitu kwa wakati mmoja ndo shida..
 
Back
Top Bottom