General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
nafurahia sim yangu ya xiaom 5s plus.
Ni sim ya kipekee ambayo ina kupa fursa ya kutumia double app, yan Whatsapp mbili kwa namba tofauti, JF kwa account mbili tofaiti, instagram, fb nk.