Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ni simu nzuri sana watu hawajui tu. Mimi niliagiza Beijing 2014, bado chuma kabisa. Niliweka protector kutunza screen ikagoma kufanya kazi ikasema remove protector. Kioo kama kilivyotka dukani mpaka leo. Hakuna mkwaruzo hata kidogo!
Ƴes uko sahihi
 

Mimi pia natumia Xiaomi redmi note 4, (3GB RAM, 32GB ROM) iko vizuri na battery yake iko poa. Tatizo lake ni moja, volume ya sauti wakati wa kuongea kwenye normal voice call ni kubwa, hata nikipunguza haipungui zaidi ya ukomo uliopo. Sijui ni simu yangu tuu, au zote ziko hivyo.
 
nimetumia redmi note 3 na note 4 za 3gb ram na 32gb rom ziko poa na warant wanakupa 1yr chochote kikizingua wanakubadilishi wapo vzr sana hawa xiaomi
 
Wadau hebu nijuzeni imekuaje manake tittle ya thread yangu ni tofauti na hii ya Leo au ni mambo ya moderators hayo
 
Hawa jamaa watakuwa wanatengeneza jina kwanza labda,kusema kuna faida wanapata kwa hizi bei sidhani.
 
Kuna 250 imezubaa hapa mwenye Redmi yoyote anicheki 0744474683
 
uzi muri, natafuta cover na screen protector natumia Xiaomi note4 anayejua maduka yanayouza bidhaa hizi tafadhali nijuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…