Ha ha haaa, mkuu umenichekesha sana!Mkiwa nazo wachache ndio zinakuwa kiboko?
Hilo jina ukisoma kwa uangalifu utagundua kuwa hizo ni "KICHOMI"
according to BBC ni "Show mee"Hivi xiaomi (inatamkwaje jamani) maana kama nikimpigie simu kumpa mwongozo aninunulie maana kiukweli inabidi niandike tu yaani ukinielekeza kama mfano huu "Samsung" inatamkwa samsangi au iPhone inatamkwa aifoni (naomba na xiaomi (matamshi ya mfumo huo)
Absolutely...Ha ha haaa, mkuu umenichekesha sana!
Kwa kweli hizi simu ni nzuri sitaki tena tecno, huawei, n.k...!
Mpaka uagize amazon au aliexpress.Ndugu zangu naomba kujuzwa upatikanaji wa tachi ya redmi 4a.
Simu yangu ya xiaomi redmi 4a imekufa tachi.
Mpaka uagize amazon au aliexpress.
Nashauri uagize lcd complete au lcd with frame coz ukiagiza digitizer touch sensor kazi kuseperate hiyo lcd fundi akikosea anaivunja kabisa inakuwa useless.
Jipapase 50K hadi 85k
Bora ukaweka link ili aweze kupitia na maoni ya walionunua kabla maana zipo LCD hadi za 30,000 shida ni kwamba nyingi ni low quality hazipo clear,zinavunjika kirahisi au zinaweza kugoma kufunction baada ya muda mfupi.Hapo aagize lcd na frame ipo around 45k to 60kView attachment 812379
'Shaomi'Hivi xiaomi (inatamkwaje jamani) maana kama nikimpigie simu kumpa mwongozo aninunulie maana kiukweli inabidi niandike tu yaani ukinielekeza kama mfano huu "Samsung" inatamkwa samsangi au iPhone inatamkwa aifoni (naomba na xiaomi (matamshi ya mfumo huo)
Kwahiyo mkuu SPYMATE ili kutokupigwa unanishauri nitumie soko lipi kati ya amazon, ebay, aliexpress n.k?Mwaka jana niliingia aliexpress kusaka display ya sony xperia Z2 nikakuta baadhi wa seller wanauza 90K na seller wengine wanauza 45K.
Nikaona nichukue cha bei poa so nikaorder cha 45K, baada ya siku 18 mzigo huo.
Kuja kufungua ebwana ehee kioo utadhani kimemwagiwa maji ya mchele ila nikasema isiwe tabu nikareplace hivyo hivyo na kutumia fresh.
Baada ya miezi 2 kitu kikaanza kujitekenya chenyewe (ghost touch) mbaya zaidi protection time ilikuwa imeshaisha hakuna tena dispute wala nini.
Kuwa makini kalendi
Hilo nilizingatia pia but kwa ushauri ulio toa link hii hapa.Bora ukaweka link ili aweze kupitia na maoni ya walionunua kabla maana zipo LCD hadi za 30,000 shida ni kwamba nyingi ni low quality hazipo clear,zinavunjika kirahisi au zinaweza kugoma kufunction baada ya muda mfupi.
So bora ajiridhishe kupitia reviews za wengine kabla ya kujitosa mazima
Mbona huyo seller analalamikiwa na zaidi ya wateja 15 walionunua vioo kwake kwamba amewauzia bidhaa isiyo na uboraHilo nilizingatia pia but kwa ushauri ulio toa link hii hapa.
ALLPARTS 5.0" LCD For XIAOMI Redmi 4A LCD Display Touch Screen Digitizer Replacement For XIAOMI Redmi 4A Display
ALLPARTS 5.0" LCD For XIAOMI Redmi 4A LCD Display Touch Screen Digitizer Replacement For XIAOMI Redmi 4A Display-in Mobile Phone LCDs from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
Unaweza angalia kwa other sellers, sio lazima huyo.Mbona huyo seller analalamikiwa na zaidi ya wateja 15 walionunua vioo kwake kwamba amewauzia bidhaa isiyo na ubora
Bei nazo zatofautiana Kulingana na uboraUnaweza angalia kwa other sellers, sio lazima huyo.
Simu kali sana hii mchawi pesa tuu nitatumia tecno mpka lini cjuii[emoji24] [emoji24]Xiaomi Redmi Note 5 Pro going cheap as 650,000/= only (New) .More information njoo Pm
Angalia EbayWakuu naombeni link ya mtandao unaouza xiaomi redmi note 5 pro aliexpress nakosa, Aksanteni.