Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

nahitaji earphone za xiaomi mwenye nazo naomba tuwasiliane kwa namba hii 0677991687 .Ofa yangu elfu 15K usafiri juu yangu
Kuna uzi wa earphone mkuu..ukiupitia ule utapata earphone kali zaid ya xiaomi..tena kwa bei almost sawa na za xiaomi..

Mi narecomend Rock Zircon hizi ni balaa..nilinunua kwa 24,000 tu...tareh 11 kuna discount zitapatakana hadi kwa 7 usd
 
Na ukinunua kwa jumla alibaba ni chini ya hapo
 
Kuna uzi wa earphone mkuu..ukiupitia ule utapata earphone kali zaid ya xiaomi..tena kwa bei almost sawa na za xiaomi..

Mi narecomend Rock Zircon hizi ni balaa..nilinunua kwa 24,000 tu...tareh 11 kuna discount zitapatakana hadi kwa 7 usd
mkuu ntazipata wapi sasa ? maana ni ngumu kupata asee
 
Wafanya biashara wa kariakoo wanshindwaje kutuletea hizi product..mbona ni bei rahis huko alibaba
Na mi niliongea hivyo kwa maana hio hio, sababu kama unaipata kwa dola 6 na bei ya reja reja ni 25,000 mpaka 30k faida ni kubwa sana, kwanini hawaleti?
 
Hili ni janga kama la paypal kipind cha nyuma...mbaya zaid hata wakileta watatukamua sana ...kuna jamaa k.koo wanauza poco f1 kwa 1.2m [emoji119][emoji16]
 
au

nunulia avechi ile site ya kenya bei zao si mbaya sana kihivyo.
Avechi shipping cost ni 31k na hawana machaguo mengi zaidi mkuu nishapita kote huko sasa mfano simu ya 280k inabidi uwe na 310k hapo kunakuw hakuna unafuu wowote. Na bado simu zao ziko juu sana mkuu.
 
Hili ni janga kama la paypal kipind cha nyuma...mbaya zaid hata wakileta watatukamua sana ...kuna jamaa k.koo wanauza poco f1 kwa 1.2m [emoji119][emoji16]

Hivi tatizo kubwa hasa huwa ni tamaa ya wafanyabiashara au ni kweli kwamba gharama za usafirishaji ni juu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…