Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mimi kwa maoni yangu binafsi Naikubali hii brand na sio kama iPhone samsung na Huawei ni Mbaya Hapana ila top 4 xiaom yupo dhidi ya hao wakubwa [emoji120][emoji120][emoji120]
Kusrma kweli mm sikuona tatizo au comment yako ambayo imeleta tension kiasi kile sababu ulisema kabisa kwa maoni yako na kwa simu ulizotumia hyo ji the best basi
 
Mi nakuelewa mkuu
Japo sijawah kutumia hyo brand but nakuelewa sana
Mimi kwa maoni yangu binafsi Naikubali hii brand na sio kama iPhone samsung na Huawei ni Mbaya Hapana ila top 4 xiaom yupo dhidi ya hao wakubwa [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkuu hivi shida huwa nini hapa kila niki post Tangazo la biashara yangu katika groups za Fb za biashara nakutana na huu mkasa na kwanini au shida nini nafungiwa yaani!!
Screenshot_20181113-184722.png

Chief-Mkwawa
 
Fb sasa hivi waba sheria za ajabu ajabu, soon hiyo account yako wanaweza wa i delete.
Unajua tangu Juzi pia si kwamba napost upuuzi ni group za biashara na post items ila nikipost yaan baada ya nusu saa napokea huo ujumbe sasa kuna watu wana report items zangu au inakuaje asee hata sielewi na kwanini iwe hivi niki report kwao hawana solution mpaka time ifike wanakuachia.
 
Wakuu,nina redmi note 4x(SD) torch yake inawaka mwanga blue, usiku ukipiga picha kwa kutumia flashlight....picha inakuwa too blue.
Nimejaribu most of software troubleshooting trick,but nothing changed.
Naomba msaada wenu Wakuu,make simu iko clean/smooth...haina tatizo lolote tofauti na hilo.

1.flashlight picture-night
IMG_20181119_205504.jpg

2.non-flashlight picture-night
IMG_20181119_205645.jpg
 
Wakuu,nina redmi note 4x(SD) torch yake inawaka mwanga blue, usiku ukipiga picha kwa kutumia flashlight....picha inakuwa too blue.
Nimejaribu most of software troubleshooting trick,but nothing changed.
Naomba msaada wenu Wakuu make simu iko clean/smooth...haina tatizo lolote tofauti na hilo.

1.flashlight picture-night
View attachment 939685

2.non-flashlight picture-night
View attachment 939687
Chief-Mkwawa na Wadau/wazoefu/mafundi wengine naomba mtie neno hapa.
 
Inategemeana na aina ila kariakoo nasikia zipo, mi nilinunua Hong Kong $112.00 na hakuruhusu ununue zaidi ya mbili maana ndo walikuwa wame launch. Nilitaka Tecno lakin hong Kong nzima hakuna tecno ndo wakanishauri Xiaomi. Maana ni copy and paste ya Apple
Hata china hakuna takataka inayoitwa tecno. Trust me
 
Back
Top Bottom