Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

La mwisho Chief-Mkwawa naomba unishauri kuhusu Samsung galaxy a5 2017 , je inaipiku redmi 6? Naezaje oata original (ambayo siyo refurbished)
Mkuu A5 2017 ni simu nzuri zaidi kushinda redmi 6, hata hazifananishiki sema A5 nayo ni ghali zaidi pengine mara 2 hadi 3 ya hio redmi 6.

Pa kuipata original tembelea maduka official ya samung kkoo gerezani linaangalizana ma mwendokasi ama mjini jmall.
 
Mkuu Chief-Mkwawa naomba ushauri wako kuhusu Xiaomi redmi 6 ukaaji wa chaji nk .Pia ni xiaomi gani nzuri naeza ipata kwa range ya 130-149 USD. Je kwa hela hii naeza pata simu gani nzuri zaidi kwenye brand ya Xiaomi au brand nyingine?
Kama ukaaji chaji ni priority hii haitakufaa kwanza ina 3000mah tu na pia ni mediatek.

Muulize mkuu ashomile hio Oppo yake ameinunua kiasi gani.
 
Bei imechangamkaaaa! Mno. Wakati hapo ukiongeza 30k, unapata Redmi Note 6 Pro 4GB RAM 64GB ROM SNAPDRAGON 636.
IMG-20181201-WA0000.jpeg
Imemuacha oppo kwa kila idara. Hizi simu ni mara kumi uagize direct kwa mchina kuliko kununulia hapa nchini
 
Hello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Habarini wadau, mimi natumia saa/fitness tracker MI FIT BAND 3 lakini lugha yake ni ya kichini. . .na sijafanikiw kubadilisha lugha hadi hivi sasa coz kwenye App yake ya MI FIT hakuna hiyo option. Nitashukuru kwa msaada jamani kwa ambaye anautaalum
 
Bei imechangamkaaaa! Mno. Wakati hapo ukiongeza 30k, unapata Redmi Note 6 Pro 4GB RAM 64GB ROM SNAPDRAGON 636. View attachment 952434 Imemuacha oppo kwa kila idara. Hizi simu ni mara kumi uagize direct kwa mchina kuliko kununulia hapa nchini
hiyo bei inajumuisha gharama zote mpk mkononi?
 
Doh kwa hiyo ya 3gb Ram haipati update? na je kwa 450k napata toka aliexpress hiyo ya gb4 Ram.
Inapata lakini updates zijazo zitakuwa demanding kuliko za leo.

Chukulia mfano simu ya ram 1gb na 2gb miaka kadhaa iliopita leo zitaperform sawa? Simu ya 1gb ram itakuwa slow sana. Hivyo miaka ijayo simu ya 3gb itaanza kuwa slow kabla ya 4gb.

Yah naona bei yake ni around 420k
 
Chief Kuna hii simu mpya ya Umidigi One Max nimeona kule Nairaland wanaisifia Ni Bei POA,vp ukiilinganisha na Redmi note 6 pro (specifications)?!
 
Chief Kuna hii simu mpya ya Umidigi One Max nimeona kule Nairaland wanaisifia Ni Bei POA,vp ukiilinganisha na Redmi note 6 pro (specifications)?!
1. Kioo cha 6.3 inches halafu ni Hd ya kawaida sio Full HD

2. Inatumia mediatek helio p23 soc ambayo xiaomi anaitumia kwenye simu za 250,000 imepitwa mbali sana na snapdragon 636

Hapana mkuu haina hadhi hata ya kufananishwa na note 6 pro, huyu wenzake ni redmi 6 inayouzwa 250,000 mpaka 300,000 yenye 4gb ram,64gb storage, helio p22 etc
 
Inapata lakini updates zijazo zitakuwa demanding kuliko za leo.

Chukulia mfano simu ya ram 1gb na 2gb miaka kadhaa iliopita leo zitaperform sawa? Simu ya 1gb ram itakuwa slow sana. Hivyo miaka ijayo simu ya 3gb itaanza kuwa slow kabla ya 4gb.

Yah naona bei yake ni around 420k

Lakini mkuu mbona bei zako zinakuwa tofauti sana na jamaa zetu wa kariakoo!!!yaani hii umeandika hapa 420 but kkoo utaambiwa 720,wewe huwa unaangalizia wapi??
 
Inapata lakini updates zijazo zitakuwa demanding kuliko za leo.

Chukulia mfano simu ya ram 1gb na 2gb miaka kadhaa iliopita leo zitaperform sawa? Simu ya 1gb ram itakuwa slow sana. Hivyo miaka ijayo simu ya 3gb itaanza kuwa slow kabla ya 4gb.

Yah naona bei yake ni around 420k
Naomba nisaidie link ya aliexpress mkuu kwa around bei hiyo itakuwa vizuri na umenisaidia mkuu.
 
Back
Top Bottom