Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
samahani mkurugenzi...View attachment 967149
TZS 500,518.5
ni kwamba kila mwezi wabadilisha simu ama zingine hizi unaagizwa na wadau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahani mkurugenzi...View attachment 967149
TZS 500,518.5
bila samahani,... Nawaagizia jamaa zangu.samahani mkurugenzi...
ni kwamba kila mwezi wabadilisha simu ama zingine hizi unaagizwa na wadau?
samahani mkurugenzi...
ni kwamba kila mwezi wabadilisha simu ama zingine hizi unaagizwa na wadau?
basi sawa..bila samahani,... Nawaagizia jamaa zangu.
sawa sawa mkuu..
View attachment 967149
TZS 500,518.5
Wakuu naipataje hii xiaomi mi a2 lite
Na bei yake shingapi... View attachment 969222View attachment 969223
ishapata update ya Android 9.0 (Pie)Wakuu naipataje hii xiaomi mi a2 lite
Na bei yake shingapi... View attachment 969222View attachment 969223
Kati ya infinix hot 6pro yenye 4000mAh na xiaomi redmi 5 yenye 3000mAh ipi iko vizuri kwa kutunza charge? Ipi ni bei rahisi.Ipi mnanishauri ninunue
Infinix kulinganisha na xiaom redmi 5 ni kuidhalilisha kampuni nzima ya xiaomKati ya infinix hot 6pro yenye 4000mAh na xiaomi redmi 5 yenye 3000mAh ipi iko vizuri kwa kutunza charge? Ipi ni bei rahisi.Ipi mnanishauri ninunue
Hizi xiaom ni ngumu kupatikana hapa bongo japo kuna mdau hapo juu kasema alizikuta kariakoo pia bei tunayoiongelea humu ni ya huko ughaibuni watu wanaagizia, lakini bei utakayo agiza inaweza kuwa sawa au kidogo na hizo infinix japo ubora xiaom ni bora hata sio kama infinixSamahani wakubwa,hamjaniambia tofauti ya bei kati ya simu hizi mbili
Redmi 5 online ipo chini ya laki tatu nilinunua mwezi Oct 285k na infinix hot 6 kwa bei za jumia si chini ya 330k.Samahani wakubwa,hamjaniambia tofauti ya bei kati ya simu hizi mbili
Njia sahihi ni kutumia TWRPNaitaji kuroot mi a1 njia ipi ni sahihi? Msaada
Redmi 5 online ipo chini ya laki tatu nilinunua mwezi Oct 285k na infinix hot 6 kwa bei za jumia si chini ya 330k.