majohe kona
JF-Expert Member
- May 23, 2018
- 257
- 263
Achana na huyo mdandia mada za watu ajue tu xiaom sasa ni no 4 duniani
Kwani jamaa amepotosha nn hasa ??
Namquote amesema yeye kwake xiomi ndo bora hajasrma xiomi ni bora bali kwa mtazamo wake yeye