Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sio tamaa mzee ni DEMAND AND SUPPLY
Hii pia inachangia sana, wafanyabiashara wengi wanaangalia simu au bidhaa zinazo toka sana. Na ukiangalia bongo wengi hatuna uelewa wa simu, mtu anaenda dukani anahitaji simu yenye whasApp au Facebook kazi inabaki kwa muuzaji kumchagulia.
 
Sio tamaa mzee ni DEMAND AND SUPPLY
Na tamaa ipo tele mkuu..

Sasa utasema bongo tuna demand ya refurbished phone? Oke tuseme tunayo,,angalia sasa bei utayopigwa..yan refurbished inauzwa bei ya brandnew..sasa si tamaa hio?
 
Hii pia inachangia sana, wafanyabiashara wengi wanaangalia simu au bidhaa zinazo toka sana. Na ukiangalia bongo wengi hatuna uelewa wa simu, mtu anaenda dukani anahitaji simu yenye whasApp au Facebook kazi inabaki kwa muuzaji kumchagulia.

Kwa kawaida muuzaji lazima uwe na elimu walau kidogo juu ya bidhaa unayoiuza.

Hawezi mtu akawa na laki tano anakuuliza achukie simu ipi unamtolea matecno,ma infinix,viwa sijui takataka gani huko,lazima unamuuzia mbuzi kwenye gunia,eaither atalirudisha umgomee,abaki nalo analalamika huku jf.

Kinachotoke ni kwamba hizi simu walau zina maumbo na interface ya kuvutia kidogo,sasa hilo huwawasha tamaa wauzaji na kujikuta wana double bei halisi,wateja wanaogopa.

Kwa tabia hii wafanyabiashara kariakoo mtafunga maduka,ebay,amazon,ali express,jumia nk ni uhakika zaidi kuliko nyie wababaishaji,Vodacom nao wamerahisisha kazi inazidi kiwa nyepesi,kaeni mjitafakari.
 
Sio tamaa mzee ni DEMAND AND SUPPLY

Demand and supply ya nini??frem zote kariakoo wanauza viwa na tecno!!!yaani akili zao zimesisimama hapo.ma tecno yapo mpaka ya laki 7,kwani ukiweka oppo,MI,vivo pekee dukani kwako unaanzaje kukosa wateja,watu wameyachoka hayo masimu ni vile ndio yamejaa kariakoo.
 
Ukiona hivyo ujue demand ya viwa na tecno ni kubwa kuliko hizo unazotaka wewe, watu wachache wanajua kuhusu hizo oppo, na MI devices, sasa unataka mtu akanunue mzigo ajaze duka awauzie watu watatu kutoka jamiiforums, hamna mtu anafanya ujinga huo
 
Sema mitaji ni dhaifu,kwa wafanyabiashara na wanunuzi pia.

Kuliko kutoa mil 5 upange simu 10 za laki tano tano,unatoa mil 5 upate simu 20 kaduka kapendeze.akija mteja unaanza hii simu ina 4g,hata hujui 4g ni kitu gani.
 
So watu wanauza iphones, samsungs wakose mtaji wa oppo?
 
So watu wanauza iphones, samsungs wakose mtaji wa oppo?

Ok kumbe sasa uelewe watu wanafanya biashara kwa mazoea,wala hakuna kujitetea,unataka kuniambia ukiweka hizo simu hakuna mteja atataka kuuliza hata zinafananaje umfafanulie achukue!!!!

Iphone 5s mpya dukani haishuki laki nne,kwa laki nne hiyo ukitafuta simu ya oppo au MI ukazipanga pamoja kwa fikra zako mteja atachukua simu gani??
 
Nabeba xiaomi babake maana iPhone 5s ni kadogo mno
 
Hamna mtu ana huo muda wa kuwafafanulia watu, xiaomi waje hapa wafanye matangazo yao then wakimaliza ndio watu waanze kuziuza sio mwenye duka ndio aanze kuzimarket simu za kampuni nyingine
 
Hamna mtu ana huo muda wa kuwafafanulia watu, xiaomi waje hapa wafanye matangazo yao then wakimaliza ndio watu waanze kuziuza sio mwenye duka ndio aanze kuzimarket simu za kampuni nyingine
Xiaomi hawaji kama hamna miundombinu ya online.

Tuliletewa jumia hapa ambayo kama xiaomi wangekuja ingetumika ila no one care wakaamua kuibadili jumia ya zamani kuja hii jumia ya sasa ambayo ni chimbo la madalali wa aggrey.

Kenya bado wana jumia ya zamani unaweza ukaingia na kuiangalia ni full official products na store.
 
Ukiona hivyo ujue demand ya viwa na tecno ni kubwa kuliko hizo unazotaka wewe, watu wachache wanajua kuhusu hizo oppo, na MI devices, sasa unataka mtu akanunue mzigo ajaze duka awauzie watu watatu kutoka jamiiforums, hamna mtu anafanya ujinga huo
Nani anaijua viwa? Issue hapa ni uvivu wa wafanyabiashara, wanataka waletewe bidhaa hadi mlangoni na hapo ndio unakuta makopo matupu yanauzwa Tanzania. Achana na viwa kuna vitu vya ajabu sana sijui simu za Disco, battery za mkulima etc

Naweza kukuchallenge hapa unioneshe kitu ambacho ni best bang for the bucks na ukakikosa hata kimoja kwenye masoko yetu.

Memory card zetu class 4, flash zetu same, simu za mediatek, laptop refurbished, samsung zetu na iphone refurbished, mouse zenye dpi ndogo, usb cable zenye mapungufu lukuki, same kwa chaja, etc

Kila kitu chetu sisi ni matatizo na ukitafuta zile bidhaa ambazo ni best kwa hela yako huzipati.

Mfano chukulia huawei ana simu zake vimeo za mediatek na ana simu nzuri kwa brand ya Honor, hizi Honor anaziuza India, Ulaya etc halafu vimeo vya mediatek (na hata snapdragon) anakuja kuvidump huku na kina Tigo wanamsaidia kuuza. Je sisi tuna demand ya vifaa vya low quality kama hivyo? Tanzania hatuna demand ya simu nzuri za bei rahisi kama Honor?

Angalia TCL na Roku na os ya Linux, Tv za Africa tunaekewa linux kwa bei kubwa huku Ulaya na Marekani wanaekewa Roku ambayo ni nzuri zaidi na bei ndogo zaidi (japo wana kodi kubwa zaidi yetu)

Yani mkuu huku kwetu uelewa wetu mdogo haya makampuni yanatake advantage na kuja kutubamiza hakuna cha demand wala supply, na ataetukwamua si mchina wala mkorea tunatakiwa wenyewe tubadilishe hii hali.
 
Well said,mm nilitafuta maduka yte tcl tv yenye roku os nikakosa kabisa,nikapiga hesabu ya kuagiza amazon ila shipping cost ikanishinda.
 
Mkuu ingia inbox nimekutumia msg.
 
Hamna mtu ana huo muda wa kuwafafanulia watu, xiaomi waje hapa wafanye matangazo yao then wakimaliza ndio watu waanze kuziuza sio mwenye duka ndio aanze kuzimarket simu za kampuni nyingine

Ndio maana nasema tuna safari ndefu sana,sababu ni uvivu na mazoea ya wafanya biashara.

Watu wamenunua nokia 6 zikipata hitirafu hata ya kioo spare hamna,unapata ujumbe gani??
 
Naweza kupata Huawei honor 7x Kwa hapa bongo au mpaka online? Bei yake ni ngapi?
 
Kwani jamaa amepotosha nn hasa ??
Namquote amesema yeye kwake xiomi ndo bora hajasrma xiomi ni bora bali kwa mtazamo wake yeye
Acha kupotosha ndugu UMEWAI KUTUMIA Google pixels? Meizu je? OPPO? Hiyo MI, Huawei na MEIZU zimewai kushindanishwa MEIZU ikawa ndo BABA LAO acha kupotosha kisa ulikuwa unatumia TECNO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…