Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Ni xiaomi toleo gani?Msaada Xiaomi yangu imekatika mkanda wa Battery nimeatafuta fundi kariakoo nimekosa!!
Tunaisubiri.View attachment 1029526View attachment 1029527
Hadi mwezi March wataanza kuuza global version coz ishafanikiwa kwenye soko la China kwa asilimia kubwa.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Redmi Note 7 yenye 3GB RAM, 32GB ROM, Snapdragon 660, 4000mAh battery. Andaa 450k
Redmi Note 7 yenye 3GB RAM, 32GB ROM, Snapdragon 660, 4000mAh battery. Andaa 450k
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
NdioKuna simu nyingine unaagiza zaidi ya shaomi(Xiaomi)?
Ndio
Sawa ArlenMr. Mobile mzee naomba utushtue global version ya redmi note 7 ikitoka
Kwa budget yako tafuta hii high-end Pocophone F1. You will never regretWakuu ni xiaomi gani hiyozidi bei laki 7 TZS
Nahifadhi file kubwa hivyo Rom isipungue 64GB
Muda mwingi simu yangu inakua bize mtandaoni na kuchati hivyo Battery isipungue 4000mah
Msaada kwa hili tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa budget yako tafuta hii high-end Pocophone F1. You will never regret
View attachment 1030074
Shukrani ndugu hii inatambulika Xiaomi aina gani na inacost ngapi hadi kuanza kuitumia nikiwa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni sub-brand ya Xiaomi inaitwa Pocophone by XiaomiShukrani ndugu hii inatambulika Xiaomi aina gani na inacost ngapi hadi kuanza kuitumia nikiwa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Yenye 6GB RAM, 64GB ROM ni TZS 704,679.8 ukiwa nayo hii kwenye performance ni sawa na flagship za Samsung au Sony za mwaka jana.Shukrani ndugu hii inatambulika Xiaomi aina gani na inacost ngapi hadi kuanza kuitumia nikiwa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo vipi boss.. Uku nikiendelea kuisubiria redmi note 7 global nilitaka nisogeze siku na lenovo k5 note nimeona bei yake ni nafuu... Unaweza nichekia specs zake na mapungufu yake?Yenye 6GB RAM, 64GB ROM ni TZS 704,679.8 ukiwa nayo hii kwenye performance ni sawa na flagship za Samsung au Sony za mwaka jana.
Mambo vipi boss.. Uku nikiendelea kuisubiria redmi note 7 global nilitaka nisogeze siku na lenovo k5 note nimeona bei yake ni nafuu... Unaweza nichekia specs zake na mapungufu yake?
ndio maana tunasema bora kuagiza online maana tunaokoa pakubwa.View attachment 1031069View attachment 1031070View attachment 1031071
Xiaomi redmi note 5
64gb
Mpya kabisa na box lake
700,000. Njoo inbox