Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hakuna namna ya kuiweka Google Play Service?

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190222-WA0026.jpeg
IMG-20190222-WA0027.jpeg

Hadi mwezi March wataanza kuuza global version coz ishafanikiwa kwenye soko la China kwa asilimia kubwa.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Kuna simu nyingine unaagiza zaidi ya shaomi(Xiaomi)?
Redmi Note 7 yenye 3GB RAM, 32GB ROM, Snapdragon 660, 4000mAh battery. Andaa 450k

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Wakuu ni xiaomi gani hiyozidi bei laki 7 TZS
Nahifadhi file kubwa hivyo Rom isipungue 64GB
Muda mwingi simu yangu inakua bize mtandaoni na kuchati hivyo Battery isipungue 4000mah
Msaada kwa hili tafadhali


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani ndugu hii inatambulika Xiaomi aina gani na inacost ngapi hadi kuanza kuitumia nikiwa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
4C74D5BFD4DF8E66.png

Xiaomi Pocophone F1 4G Phablet 6.18 inch Android 8.1 Qualcomm Snapdragon 845 Octa Core 2.8GHz 6GB RAM 64GB ROM 20.0MP Front Camera Fingerprint Sensor
● Display: 6.18 inch, 2246 x 1080 Pixel Screen
● CPU: Qualcomm Snapdragon 845 2.8GHz
● System: Android 8.1
● RAM + ROM: 6GB RAM + 64GB ROM
● Camera: 12.0MP + 5.0MP rear camera + 20.0MP front camera
● Sensor: Proximity Sensor, Accelerometer, E-compass, Fingerprint Sensor, Ambient Light Sensor, Gravity Sensor, Hall Sensor
● SIM Card: Nano SIM card + Nano SIM card / micro SD card
● Feature: GPS, A-GPS, Glonass, Beidou
● Bluetooth: 5.0
 
Yenye 6GB RAM, 64GB ROM ni TZS 704,679.8 ukiwa nayo hii kwenye performance ni sawa na flagship za Samsung au Sony za mwaka jana.
Mambo vipi boss.. Uku nikiendelea kuisubiria redmi note 7 global nilitaka nisogeze siku na lenovo k5 note nimeona bei yake ni nafuu... Unaweza nichekia specs zake na mapungufu yake?
 
Mambo vipi boss.. Uku nikiendelea kuisubiria redmi note 7 global nilitaka nisogeze siku na lenovo k5 note nimeona bei yake ni nafuu... Unaweza nichekia specs zake na mapungufu yake?

Lenovo K5 Note ni mid-range nzuri kwa price range yake, kama ni mtu wa matumizi ya kawaida ni decent uki compare na brand nyingine yenye specs kama hizo. Kama unataka mid-range nzuri zaidi chukua K5 Pro.
 
Back
Top Bottom