Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Hii autostart ni kwa apps zote au messenger apps pekee?Hilo sio tatzo sababu apps karbia zote huwa zinafutika na pia unaweza kuziacha na zisaffect RAM kwasabb MIUI huwa haitoi permission ya autostart kwa apps mpk uziruhusu mwnyw
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kwasababu ya global hii ipo kwa ROM zote anachotakia kufanya....kwanza a turn off battery saver kisha aende kwny installed app achague app husuka alf afate procedure hz nlzoattach....vile vile kwa hapo juu kuna kpengele cha data usage aclick hapo achek kama background data ipo on kama ipo off aiweke on baada ya hapo a reboot simu yake autostart itafanyakazi kama kawaidaKuna mdau ametumia hii screenshot, mbona apps nyingine hapa zinakataa autostart au sababu ni global version? View attachment 1038275
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kazi ya auto start je faida ni zipi na nisipoweka namis kipi mkuu?Hapana sio kwasababu ya global hii ipo kwa ROM zote anachotakia kufanya....kwanza a turn off battery saver kisha aende kwny installed app achague app husuka alf afate procedure hz nlzoattach....vile vile kwa hapo juu kuna kpengele cha data usage aclick hapo achek kama background data ipo on kama ipo off aiweke on baada ya hapo a reboot simu yake autostart itafanyakazi kama kawaidaView attachment 1038520View attachment 1038521View attachment 1038522View attachment 1038523
Sent using Jamii Forums mobile app
Autostart inatoa ruhusa kwa apps kuanza kufanyakazi zenyewe pindi unapowasha tu simu yako.Nini kazi ya auto start je faida ni zipi na nisipoweka namis kipi mkuu?
Umesomeka MkuuAutostart inatoa ruhusa kwa apps kuanza kufanyakazi zenyewe pindi unapowasha tu simu yako.
Faida zake
1.inakusaidia kupata taarifa kwa haraka zaidi kama message za whatsapp, fb, insta, gmail n.k
2.kupata notifications mbalimbali kama za YouTube, fb, insta, aliexpress n.k
Hasara zake
1.Apps hizo hutumia kiasi kikubwa cha RAM hivyo kufanya simu yako kufanyakazi kwa uzito (inakua slow)
2.Hutumia kiasi kikubwa cha battery hivyo kufanya simu yako istunze chaji kwa muda mrefu
3.Hujaza notifications nyingi katika status bar yako ata zile ambazo hazina umuhimu au husizokua na matumizi nazo
4.Itakula na kumaliza data zako kwa haraka zaidi
Hitimisho
Ni vizuri kama ungechagua Apps chache muhimu ambazo huwa unamatumizi nazo ya kila siku Mf. Whatsapp na Jf uzipe ruhusa hiyo ili kubalance utendaji kazi wa simu yako (hasa kwa wenye RAM ndogo), Na pia kubalance matumizi ya battery life yako (hasa kwa wenye battery yenye capacity ndogo)....Mimi binafsi zijaruhusu Apps zozote zaidi ya (Google Contact Sync) kwasababu ya udogo wa battery yangu na kupata utendajikazi mzuri wa simu vile vile kutunza data zangu zisitumike kwa mahitaji yasiyokua na umuhimu kwangu...Natumaini nimeweza kukuelewesha vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Product price: 405,494 TZS
My charge: 13,000 TZS
Total: 418,494 TZS
Note: Bei ni kwa exchange rates za leo.
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Huawei P Smart ya mwaka gani? Maana ipo ya 2017 na 2019Nikihitaji Huawei p smart itanikosti shilingi ngapi?
Inauzwaje
Najaribu kuangalia store inayouza huawei products Aliexpress, lakini wanatuma kwa expedited shipping only. Inapelekea bidhaa kuwa na bei juu!2017
Najaribu kuangalia store inayouza huawei products Aliexpress, lakini wanatuma kwa expedited shipping only. Inapelekea bidhaa kuwa na bei juu!
Kwa wale ambao tunapata shida za kuharibikiwa na earphones (hasa kwenye base) nimeona nishee na nyinyi. Kuna hivi vidude vinasaidia kuprotect earphones,usb wires,nk. Vipo vya aina nyingi,ukihitaji ingia AliExpress andika 'cable protector' au 'earphone protector' utachagua uipendayo!mimi nizazo zote mbili, za xiaomi bluetoth na rock zircon. hizo rock zircon kwenye kichwa nilifunga waya. hazijawahi nisumbuaView attachment 995490View attachment 995493
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu..ngoja nichukue moja nivike rock yanguKwa wale ambao tunapata shida za kuharibikiwa na earphones (hasa kwenye base) nimeona nishee na nyinyi. Kuna hivi vidude vinasaidia kuprotect earphones,usb wires,nk. Vipo vya aina nyingi,ukihitaji ingia AliExpress andika 'cable protector' utachagua uipendayo!
TZS 702.87 21%OFF | Spiral Cable pr...er https://s.click.aliexpress.com/e/bWxrecJe
TZS 1,241.74 46%OFF | 1.5M Cable protector Bobbin winder Data Line Case Rope Protection Spring twine For Iphone5 6 6plus Android USB earphone CoverAsante mkuu..ngoja nichukue moja nivike rock yangu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk