Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulinunua bei gani mkuu na vp performance yake?Natumia mi max 2
Kweli kabisa, bora umsaidie kuitunza, teh teh tehHata ikiwa bank utaila so better nikushikie wakati unasubir kuagiza simu
Nilichukua 650k ....aaaah cjawah kutumiaga cm ambayo ukiishka hutak itoke kwa mkono brooUlinunua bei gani mkuu na vp performance yake?
Nilichukua 650k ....aaaah cjawah kutumiaga cm ambayo ukiishka hutak itoke kwa mkono broo
Unapatikana wapi mkuu?Ndio mkuu
Asante, kwa kunisaidia kumpa ushauriKweli kabisa, bora umsaidie kuitunza, teh teh teh
DodomaUnapatikana wapi mkuu?
Sasa boss nataka uniagizie fitness tracker.Dodoma
Okay, haina shida mkuu.Sasa boss nataka uniagizie fitness tracker.
Za kawaida ni tecno na ndugu zake itel infinix vinko sio xiaomKwann za kawaida mkuu
Hapo umenena.Za kawaida ni tecno na ndugu zake itel infinix vinko sio xiaom
Nilichukua 650k ....aaaah cjawah kutumiaga cm ambayo ukiishka hutak itoke kwa mkono broo
Yeap![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna mtu niliwai kumuagizia kwa 500k, ila 650k ni fair price kwa bongo.
La shida soko lipi? Kama ni xiaom sio shida kwani hakujapata Wakala kwa hapa bongo Kenya Zipo sana na Ukweli kama unapenda simu yenye kujitosheleza uhakika xiaomi wapo vizuri kuna kampuni kubwa kama Samsung I phone Huawei nk zimeingia mda kwenye soko letu hapa Tanzania lakini ukionja ladha ya xiaomi brand huko jutia pesa yako hata siku mojaHapo umenena.
Lakn kwann soko lake ni la shida?
Ni kweli ila tunatakiwa kujifunza vingi tunavyouziwa madukani wanaweka vya Juu vingi sana,njia ya kuagiza hizi mambo ndo tabu kwangu
Kwenda Kenya ni gharama japo ni muda mfupi unakuwa na chako mkononi.La shida soko lipi? Kama ni xiaom sio shida kwani hakujapata Wakala kwa hapa bongo Kenya Zipo sana na Ukweli kama unapenda simu yenye kujitosheleza uhakika xiaomi wapo vizuri kuna kampuni kubwa kama Samsung I phone Huawei nk zimeingia mda kwenye soko letu hapa Tanzania lakini ukionja ladha ya xiaomi brand huko jutia pesa yako hata siku moja