Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nimekupata mkuu, hii kwa sasa hivi inakubali simu yenye MIUI 9.5 na kuendelea, awali ilikuwa inakataa kabisa kuweka play store, maana niliwai kuweka kwenye Redmi 5 ilikuwa ina MIUI 8 ilikuwa ina block apps za Google, tangu hapo sikuwai kujaribu tena kufanya installation kama hiyo coz simu zote zilizofuata kuagiza zilikuwa global version. Ahsante sana kwa taarifa.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
vizuri mkuu ila mm skuwahi kupata tatzo hilo toka nianze kutumia miui 7 nlianza nayo mpk leo huwa natumia Chinese tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
QCY ulizonazo chaji inakaa kwa muda gani kama unaitumia simultaneously?

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
zinakaa masaa matatu na nusu mpaka ma nne inategemea na volume utakayoweka hapa nmeziwasha toka saa2 nazsklza kawaida na kuchekia video youtube zmefka hapo katikati kama unavyoona kwny picha
Screenshot_2019-03-01-23-42-20-284_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zinakaa masaa matatu na nusu mpaka ma nne inategemea na volume utakayoweka hapa nmeziwasha toka saa2 nazsklza kawaida na kuchekia video youtube zmefka hapo katikati kama unavyoona kwny pichaView attachment 1035605

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yangu nimemuagizia Anker Sounbuds Slim+, chaji inakaa hadi masaa saba ukiweka sauti ya wastani.
IMG-20190301-WA0000.jpeg

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Habari wanajukwaa, napenda kujua je bado hakuna maduka yanayouza hizi simu za xiaom kwa hapo dar, huku mikoani watu wengi hawazijui labisa, na kama kuagiza ni kampuni gani nzuri kufikisha mzgo mpaka mikoani achana na posta, niko mbeya wakuu
 
Kwa hapa TZ hakuna authorised resellers wa Xiaomi. Wauzaji wanaouza Tanzania hawauzi officially. Kwa Kenya wapo authorised resellers kama Avechi, Jumia, etc.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Habari wanajukwaa, napenda kujua je bado hakuna maduka yanayouza hizi simu za xiaom kwa hapo dar, huku mikoani watu wengi hawazijui labisa, na kama kuagiza ni kampuni gani nzuri kufikisha mzgo mpaka mikoani achana na posta, niko mbeya wakuu

DHL ni njia salama na ya haraka kufikisha mzigo.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
unaweka kama kawaida Chinese ROM ni nzuri zaidi ata kuliko global mimi simu zangu zote za Xiaomi huwa naweka Chinese kwasababu ina features ambazo huwez kuzipata kwenye global kifupi ukitaka kupata features zote za Xiaomi tumia Chinese ROM utaenjoy....kuhusu Gapps hizo nenda app store ya Xiaomi search Google watakuletea installer ambayo itainstall kila apps za Google na utaweza fanya mambo yako kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
hata mimi napenda chinese version. tena nina wasiwasi hata ubora wa simu zao ni tofauti na global

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lina ukweli wowote hili!!!🤔
Hizo porojo tu! Kwa sheria za China matumizi ya huduma za Google zimepigwa marufuku, ndio maana kwenye matoleo ya simu wanazotumia wao hawaweki Google Services. Kwa upande wa hardware tofauti inakuwaga ni ndogo sana na global version, ila ubora ni ule ule.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
shukrani sana mkuu..
hivi bei za pre-sale huwa zina unafuu kidogo ama?
Hapana. Ila kuna muda bidhaa ikiwa kwenye "flash sale" huwa inashuka bei kwa asilimia kubwa, na ndio mtindo wanaotumia Xiaomi kuuza bidhaa zao na kufanya ziuzike sana kwa CN & IN.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Back
Top Bottom