Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wadau..
Hivi xiaomi redmi 5 plus yenye ram 4gb internal 64gb used approximately 3 months inaweza kuuzwa bei gani?
Huipati hiyo simu kwa sasa labda ukanunue huko huko india au China boss babatisha Gearbest na Banggood
 
Sorry mkuu..
Hujanielewa swali langu..
Yaani nauliza km ipo na ina io condition, bei sahihi ya kuiuza ni shilingi ngapi??
 
Inategemeana na huyo aliyenayo aliinunua kwa bei gani na anaiuza kwa dhumuni gani, kupanga bei si rahisi!
 
Naona Oneplus 7 series tayr imeshatoka. Hii simu haiuzwi ghali kivile......mfano hiyo The OnePlus 7 Pro with 6GB/128GB ita retail for $669! The 12GB/256GB model ita cost $749.....8GB/256GB ina cost $699.

4000mAh battery...android 9 pie with oxgenOS. No waterproofing .
 
😆😆 Uko vizuri boss $749 sio ghali dah tutapambana na Mi tu huku kwakweli.
 
[emoji38][emoji38] Uko vizuri boss $749 sio ghali dah tutapambana na Mi tu huku kwakweli.
Jamaa yupo Sahihi mkuu,Kwa specifications hizo ,akitoa samsung au Iphone ,na kwa bei hizo ,Dunia itasimama,Tutaona malaika wakicheza na kuimba kwa furaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabsa mkuu. Samsung kuongeza tu GB ifike 128, bei inakua kubwa sana
 
😆😆 Uko vizuri boss $749 sio ghali dah tutapambana na Mi tu huku kwakweli.
Nilidhani 749K kumbe sio....
Kwa bei hiyo kitu lazima kije kwa DHL then kinaingia kwenye tanuri la TRA daah watu tunatofautiana asee yaani ni 1,800,000 tsh kabisa hiyo
 
Naona Oneplus 7 series tayr imeshatoka. Hii simu haiuzwi ghali kivile......mfano hiyo The OnePlus 7 Pro with 6GB/128GB ita retail for $669! The 12GB/256GB model ita cost $749.....8GB/256GB ina cost $699.

4000mAh battery...android 9 pie with oxgenOS. No waterproofing .
Simu ikishavuka $400 - $500 tunaitoa kwenye mid range phones...Hiyo simu ni ghali mkuu labda unafuu wake upo ukicompare na flagships zinazouzwa $900 mpaka $1000.
Kinachoipa sifa kampuni ya xiaomi ni kwamba Xiaomi atakupa simu yenye features sawa na hizi flag ship kama hiyo one plus 7 pro kwa $300 - pre $500 . Kitu kinachofanya hizi kampuni kubwa kuonekana zinaover price simu zake kwa kutumia tu brand yake.
 
Naona Oneplus 7 series tayr imeshatoka. Hii simu haiuzwi ghali kivile......mfano hiyo The OnePlus 7 Pro with 6GB/128GB ita retail for $669! The 12GB/256GB model ita cost $749.....8GB/256GB ina cost $699.

4000mAh battery...android 9 pie with oxgenOS. No waterproofing .
Congratulations OnePlus
team!
[emoji122]
There's a new flagship in town.

Flagship Killer 2.0: coming soon.. Hold my dragon!
[emoji244]
D6lNETJUcAAojoD.jpeg
 
Naona Xiaomi nao wanajipanga kuwapiku oneplus. Tusubr tuone yao. Ni aina ipi au toleo gani wanatoa this yr na mwez gani?
Nahisi watafanya mapinduzi kwa Pocophone f2...maana wameedelay kwa muda kidogo ili wasome mchezo unaendaje.
 
Back
Top Bottom