Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hapa Mifa ndani ya nyumba. Siku 10 tu
20190729_134402~2.jpeg
 
Ipo njema ina features nyingi ambazo zipo kwenye simu za kisasa, Kama Amoled display, in display fingerprint, battery kubwa 4030mAh, na kadhalika. Ila naona wengi wanalalamika kuhusu screen resolution wane downgrade badala ya kuweka FHD au QHD wameweka HD
Naona pia kuna Mi A3 hii vipi boss wangu.
 
Yep! Karibu ulimwengu wa Xiaomi yapo mengi ya kuyafahamu na kujifunza kuhusu hii brand inayochipukia kwa kasi. Na kama unakumbuka mara ya kwanza kabisa hapa jukwaani wakati unataka kununua simu nilikushauri Pocophone F1 by Xiaomi ambayo ni high-end inayouzwa kwa bei himilifu ukilinganisha na high-end nyingine za Xiaomi.
Mkuu hiyo Mi8 ntaipata Kwa ngapi hapa bongo au ukiniagizia online. Vipi redmi note 7 ntapata Kwa ngapi
 
Mkuu hiyo Mi8 ntaipata Kwa ngapi hapa bongo au ukiniagizia online. Vipi redmi note 7 ntapata Kwa ngapi
Mi 8 kwa Bongo sijui ni bei gani, pia online kuzipata ni shida kidogo kwa sasa, labda upate mtu kutoka China su India akuchukulie kwenye Mi Store.
Bei ya Redmi Note 7 inategemeana na storage na rangi ya simu, sijui wewe unahitaji ipi?!
 
Kama siku 10 zimepita bila update piga simu posta kuu Arusha uwaeleze kuhusu tatizo hilo kama mzigo bado upo kwao watakupa maelezo ama utaratibu.
Wakuu watu wa posta wanazingua yaani mzigo wangu unaonesha utumwe Zanzibar, wao wameupeleka Arusha. Nimeenda posta kucheki mzigo wameniambia mbona mzigo umetumwa Arusha. Pia nimethibitisha Kwa kutumia website ya posta.

Je mzigo wangu naweza kuupata vipi usije ibiwa na nikipata hasara.
 
Kama siku 10 zimepita bila update piga simu posta kuu Arusha uwaeleze kuhusu tatizo hilo kama mzigo bado upo kwao watakupa maelezo ama utaratibu.
Mambo yamebadilika siku hizi!!!!
Mi kuna mzigo nilipewa then kile kikaratasi cha kusaini sijui kilipotea au ilikuwaje.
Hazikupita wiki 2 nilikuwa natafutwa na posta masta ambaye alikuwa likizo kipindi hicho naulizwa kama kuna parcel imepotea?
Nilijibu No!! Basi akawa anahaha mama Yule kwamba tuonane nikasaini ataja fukuzwa kazi Kwa upotevu so ikabidi atoke likizo tukaonana posta pale nikaanguka signature kwenye parcel iliyokuwa na utata akanipa buku 10 ya usumbufu ila sikuchukua.
So we fungua dispute jamaa watajambishwa na Global post coz mzigo upo mikononi kwao, mbona watakupigia simu wenyewe ukachukue furushi lako.
 
Mbona kama sijakusoma?
Je walichelewesha parcel au ulichukua parcel bila ya kusaini?
 
7 pro bei gani ulichukua huko Uchina mkuu
note 7 pro kwani wana global ROM? nachojua wana chinese version na indian only
ziko designed kwa masoko ya kule

hivo kuipata ni umuagizie mtu ambaye yupo kule akununue

mi yangu nimenunua china
 
Ukipata jbl inakua balaaa
Kaka nimekutwa n tatizo na sijui jinsi ya kulitatua.nina earphone za Xiaomi amabzo n mi sports Bluetooth earphone sasa kila nikiconnect na redmi 7 yangu zinafika,awali ilikua fresh tu but now hak
Aliexpress standard shipping. Iyo ni fastaIko kispika mkuu. Kitoto kidogo mziki meneneKwa wasani ndani inatosha kulinganisha na bei ake.
Linaendaje mkuuu
 
Back
Top Bottom