Mkuu nilichukua contact hapo kwenye risiti nimepata redmi note 7 shukran Sana.Hizi hapa.
Naweka kw faida ya wengiView attachment 1145128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilichukua contact hapo kwenye risiti nimepata redmi note 7 shukran Sana.Hizi hapa.
Naweka kw faida ya wengiView attachment 1145128
Kwa bei gani?Mkuu nilichukua contact hapo kwenye risiti nimepata redmi note 7 shukran Sana.
Itakua 590KKwa bei gani?
Miui 10.3.1 ndiyo yenye dark mode.....so kama untumia miui 10.2 hamna.....update to 10.3 ...dark mode ipo na ndio nayotumia
590,000Kwa bei gani?
Mkuu nilichukua contact hapo kwenye risiti nimepata redmi note 7 shukran Sana.
Mbona Bei hiyo ni ya Note 7 ya 4GB RAM NA ROM 64GB au umeagiza soko gani mkuu🤔mimi nimeagiza hiyo note 7 32gb kwa 430,000
Umeagiza linina sasa hivi ipo hatua gani mkuu?nilikosea mkuu ni 64gb kwa huyu huyu mi france store. tena kwa kuongezea huyo seller yupo fasta sana
590,000
Uvivu wa kusubiri!kwann hamuagiz online muokoe parefu
mi kwhyo ela nimepata note 7pro ya ram 6gb rom 128gb
Ila hizi note 7 pro mpaka uwe na connection asee😄😄kwann hamuagiz online muokoe parefu
mi kwhyo ela nimepata note 7pro ya ram 6gb rom 128gb
Yaani watu wavumilivu ,wanasubiri nyapu hata kwa mwaka mzima ,lakini kusubiri MI kwa week 2- mwezi wanashindwa??Uvivu wa kusubiri!
Heheh..mkuu watu wanataka washike simu chap ili iwe ndoano yake ya kwanza mjiniYaani watu wavumilivu ,wanasubiri nyapu hata kwa mwaka mzima ,lakini kusubiri MI kwa week 2- mwezi wanashindwa??
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ningeagiza , nilikua nahitaji kwa haraka Kwa shughuli zangu .kwann hamuagiz online muokoe parefu
mi kwhyo ela nimepata note 7pro ya ram 6gb rom 128gb
Vp mkuu na wewe unatumia hii Realme kama unavyotushauri?Kwa wanaoagiza simu jaribuni kucheki na simu za oppo (Realme) wanasimu nzuri kuliko hata xiaomi na bei yao iko vizuri. Simu kama realme x, realme 3 pro zina chipset nzuri kuliko hata hizo note 7, zina fast charging (VOOC) na kama realme x ina amoled display na under display fingerprint.View attachment 1175311View attachment 1175312
Vipi uki compare na bei zake kama ulizozifananisha Mfano Realme X ma note 7 ni kosa kabisa jaribu ifananisha Realme x na k20 pro,upatikanaji wake ni friendly? naamini pia hata Mi ana simu yenye amoled na fingerprint ya kioo kwa bei reasonable pia kuliko oppo bado Xiaomi ni mkombozi kibongobongo Mkuu.Kwa wanaoagiza simu jaribuni kucheki na simu za oppo (Realme) wanasimu nzuri kuliko hata xiaomi na bei yao iko vizuri. Simu kama realme x, realme 3 pro zina chipset nzuri kuliko hata hizo note 7, zina fast charging (VOOC) na kama realme x ina amoled display na under display fingerprint.View attachment 1175311View attachment 1175312
Duuuh sikuelewi mkuu kwa hiyo hio realme ni nzuri kuliko show me ? Kweli kakaVipi uki compare na bei zake kama ulizozifananisha Mfano Realme X ma note 7 ni kosa kabisa jaribu ifananisha Realme x na k20 pro,upatikanaji wake ni friendly? naamini pia hata Mi ana simu yenye amoled na fingerprint ya kioo kwa bei reasonable pia kuliko oppo bado Xiaomi ni mkombozi kibongobongo Mkuu.