skate-board
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 490
- 577
Wadau ivi ukiagiza mzigo huku mikoani huwa ufikia posta ya mkoa niliopo au ni kwa wilaya husika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutegemea na adress uliyo andika, ukiandika ya mkoa mzigo utaishia mkoani, ukiandika ya wilaya ulipo mzigo utafikia wilaya ulipo.Wadau ivi ukiagiza mzigo huku mikoani huwa ufikia posta ya mkoa niliopo au ni kwa wilaya husika?
Kama upo Dar fika posta na hiyo tracking number ujaribu kuulizia,kama upo mkoani subiri kama siku 3 hivi then uende posta kuuliza, lakini mara nyingi wahudumu wa posta hukujilisha pindi mzigo ukifika kwenye posta yenye adress husika.View attachment 1214975
Habari wadau! Msaada naona mzigo wangu tayari umeshaingia nchini, ila unasomeka "held by customs". Maana yake ni nini na ili nipate mzigo wangu natakiwa kufanya nini ?
Niko Dar, ngoja nifanye kusogea hapo posta.Kama upo Dar fika posta na hiyo tracking number ujaribu kuulizia,kama upo mkoani subiri kama siku 3 hivi then uende posta kuuliza, lakini mara nyingi wahudumu wa posta hukujilisha pindi mzigo ukifika kwenye posta yenye adress husika.
NB
Kumbuka kubeba kitambulisho chenye majina sawa na yaliyo kwenye mzigo wako.
Xiaomi wametisha hii simu ni future phoneView attachment 1215014View attachment 1215016
Xiaomi's Mi Mix Alpha's price is a bit scary [emoji30][emoji33][emoji30]
Priced for 19,999¥ = 2814$ = 6M TZS
Asante kwa taarifa mkuu naona bei imechangamka.View attachment 1215014View attachment 1215016
Xiaomi's Mi Mix Alpha's price is a bit scary [emoji30][emoji33][emoji30]
Priced for 19,999¥ = 2814$ = 6M TZS
Aiseeh! [emoji848]View attachment 1215014View attachment 1215016
Xiaomi's Mi Mix Alpha's price is a bit scary [emoji30][emoji33][emoji30]
Priced for 19,999¥ = 2814$ = 6M TZS
Unatembea na IST au Passo mfukoni hahahahahaaa...View attachment 1215014View attachment 1215016
Xiaomi's Mi Mix Alpha's price is a bit scary [emoji30][emoji33][emoji30]
Priced for 19,999¥ = 2814$ = 6M TZS
MIUI 11 kwenye presentation nimeona vitu hivi: Design mpya, Fonts mpya, sounds mpya, Always on Display themes mpya, Mi work ( file manager, screen cast, print), Mi go (itakusaidia kwenye kupanga safari) na super battery saver
Beta inaanza 27 September.
Release wamesema ni mid October kwa kila device.
Watu wenye mi account wanaweza kujaribu leo kuanzia usiku.
Though itakuwa Chinese version, information kuhusiana na global rom wamesema watatoa baadae
Hii itawezekana endapo hiyo simu ina version mbili zenye kufanana. Mfano hiyo hiyo Mi5x na MiA1. Ni simu moja yenye ROM mbili tofauti.
Tofauti na hapo basi ukomae na Custome Roms ambazo nazenyewe kuna mawili uharibu simu yako au ukutane na mapungufu kwenye hiyo Rom.
Ahaa hapo sawa mkuuMkuu hizo earphone mdau post za nyuma alisema anajaribu kuagiza bidhaa ya bei ndogo aone kama mzigo utamfikia. Ndio akaagiza hizo earphone. so hapo bei ni kuanzia 2000 hadi 10,000.
Hivyo yawezekana hakuzingatia ubora nk.
Na ukumbuke hizo ni copy za product ya Apple.
VP mkuu yako hiyo uliagiza mwenyewe aliexpress???Nielekeze nianze kuijaribu tufanyaje kuipata mkuu, nin redmi 7hapa
View attachment 1214975
Habari wadau! Msaada naona mzigo wangu tayari umeshaingia nchini, ila unasomeka "held by customs". Maana yake ni nini na ili nipate mzigo wangu natakiwa kufanya nini ?
Mzigo umewasili juzi, bado sijaenda. Sijui naanzia wapi ? Hao TRA naenda ofisi ipi ?Hii ipo mikononi mwa TRA ulipoenda uliambiwaje?
Hawa Tra wa posta ni pasua kichwa sema ukweli maana kuna siku nilikuwa na mizigo mitatu posta nvme SSD 1tb ya Samsung bei 600k hivi, Router 4g ya 100k na headphones za Edifier 170k. Mzigo wa kwanza na wa pili nikapokea bila shida message kwenye simu ikija (FGN hapa unajua hamna kodi) .. Watatu ukaja message RDP nikajua hapa kodi. Walinigonga karibia nusu ya bei ya manunuzi ya hizo headphones:Hivi huwa inakuwaje baadhi ya mizigo ikashikiliwa na TRA na mingine isishikiliwe kwa aina ya mizigo inayofanana ? Maana mi nimeagiza SIMU pekeake. Naambiwa "Held by Customs" wakati wadau humu kila siku wanapokea mizigo yao pasipo usumbufu wowote tena bila gharama yoyote ?
Shukrani, mzigo unapokuwa held by customs unatakiwa kuanzia ofisi gani ? Au utaratibu ukoje ?Hawa Tra wa posta ni pasua kichwa sema ukweli maana kuna siku nilikuwa na mizigo mitatu posta nvme SSD 1tb ya Samsung bei 600k hivi, Router 4g ya 100k na headphones za Edifier 170k. Mzigo wa kwanza na wa pili nikapokea bila shida message kwenye simu ikija (FGN hapa unajua hamna kodi) .. Watatu ukaja message RDP nikajua hapa kodi. Walinigonga karibia nusu ya bei ya manunuzi ya hizo headphones:
Import duty 25%
Excise duty 0%
Customs processing 0.6%
Railway Development 1.5%
VAT 18%
Kwenye Vat wanachukua bei ya bidhaa + import duty = total wanazidisha na hiyo 18%
Mahesabu haya hubadilika, sina uhakika simu wana charge vipi, maana kwa nguo wanacharge zaidi n.k
Pia usiogope sana, kuna mizigo yangu mingine ilishikwa customs lakini nikaipata bila kodi.