Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

21% dah! Unaweza kunipa breakdown vizuri kama bado unayo ile karatasi... Maana hata mimi nilitaka kuagiza Mi9t pro lakini nilivyofikiria bei + kodi cost nikaona itafika S10.. Nikaachana nayo
Hapana sinayo,Ila Kuna mdau alishaipostigi humu!

Ila kwa simu ni hiyohiyo 21%. Na kama Ukiagiza kwa DHL inaongezeka
 
Hapana... ni tofauti!
Rudia tena post #3745
Vp shipping address yangu inafaa? Nipo Mwanza wilaya ya Nyamagana..
IMG_20190925_180317_703.jpeg
 
Basi mkuu sio kesi NGOJA NIMSUBIRI KAZETELA alete jibu/link [emoji16]
Ukiscan kwa picha zinakuja picha za bidhaa kama 1000 hivi za Earphones hizo ,ntajua ipi ni ipi?,unajua mpaka amenunua/kununuliwa ina maana bidhaa aliichunguza kwa makini.

Humu huwa tunasaidiana kwa kumpa mtu LINK ya Bidhaa husika ndio rahisi zaidi na sio KUSCAN
Anyway Mchana mwema
Yani mnavyobishana na kujibizana nimecheka mpaka nikajisahau kama hapa niko peke yangu, mmesahau kuwa mi ndo mwenye majibu ya mwisho.Anyway hizi earphone nilizinunua Tsh. 1,400/- kwa hela za bongo garama za usafirishaji mpaka kunifikia ni $4.69 = Tsh. 10,777.62/-
 
Duh! Mkuu jiandae tu kisaikolojia, kuna chance kubwa message utakayopokea ni ya RDP (namba ya mzigo). Mizigo yangu ya RF haijawahi ni acha salama.
Unashauri tunapofanya manunuzi tuangalie njia ipi mzuri ya kusafirishia mizigo ili track # iwe nje ya RF!?
 
Wakuu hii free shipping Iko salama Kweli
Na mzigo unakua na track number?
Mzigo unafika posta pia nikitumia address ya posta?
 
Ipo salama,kuna unayopewa track no na mengine hupewi nahis.. mzgo utafika kweny Address yako hata hyo ya posta
Wakuu hii free shipping Iko salama Kweli
Na mzigo unakua na track number?
Mzigo unafika posta pia nikitumia address ya posta?
 
Una request refund tu
OK, nimekuwa disappointed sana ndio mzigo wangu wa kwanza kuagiza online nikiwa tz, halafu haujafika
nawasiliana na seller anang'ang'ania mzigo aliutuma, nimeenda posta wananiambia item yangu is missing
 
Hebu tuone tracking yako inasemaje,ww usiongee na seller..fungua dispute hiyo wakupe refund..mana mzgo haupo mikonon kwako
 
OK, nimekuwa disappointed sana ndio mzigo wangu wa kwanza kuagiza online nikiwa tz, halafu haujafika
nawasiliana na seller anang'ang'ania mzigo aliutuma, nimeenda posta wananiambia item yangu is missing
Nenda sehemu ya Open dispute. Jaza zile gaps kisha subiri seller atarusisha tu pesa kama unahitaji pesa au unataka atume tena mzigo.

Kabla ya ku OPEN DISPUTE angalia hii sehemu siku ngapi zimebaki za kusubiria mzigo.
IMG_20190926_173039.jpg

Kama siku zimeisha shuka chini kidogo utakutana na hili neno
IMG_20190926_173027.jpg

Kisha fuata yale maelekezo ili ku open dispute
 
Wakuu najaribu kupiga International call kwa redmi note 7 inagoma inaniambia sijajisajili na huduma ya IDD
Msaada wadau
 
Ila si ndo kusubiri si chini ya siku 30?
Kama ni safe Ngoja niagize Maana kuna mzigo shipping ni mara mbili ya bei ya bidhaa
Nikicheki sina haraka nao nini kujitesa
Asante ndugu
Ipo salama,kuna unayopewa track no na mengine hupewi nahis.. mzgo utafika kweny Address yako hata hyo ya posta
 
Back
Top Bottom