Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Haujaujua msoto bado.

Siku 40 - 60 unazijua wewe?[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Kwa ufupi unatakiwa unywe maji mengi mpka moyo uelee.
[emoji23][emoji23] huwa wana ship less than 5 days huku AliExpress wanajitahidi, sio kama gearbest kunasiku nili order simu wakaniambia wanaship after 21 days, nikaona kama matapeli ikabidi niombe refund faster.
 
Inategemea na availability ya items mkuu, kwenye mid year sale kuna simu ya mdau mmoja hapa hapa ilikaa siku 21 ndio wanatuma na hadi kufika ilichukua siku 47, jamaa alishajua nimemtapeli hela yake na alianza kukusanya ushahidi anifungulie kesi ya utapeli[emoji38][emoji38]
 
Nikutakie kila lakheri kwenye tarehe hiyo mkuu 11 of November.

Tutausubiri ushuhuda mwezi January 2020.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Inategemea na availability ya items mkuu, kwenye mid year sale kuna simu ya mdau mmoja hapa hapa ilikaa siku 21 ndio wanatuma na hadi kufika ilichukua siku 47, jamaa alishajua nimemtapeli hela yake na alianza kukusanya ushahidi anifungulie kesi ya utapeli[emoji38][emoji38]
Bahati yako nilikua nakufunga kabisa
 
Wadau niliagiza simu alliexpress, kwenye parcel status nimeandikiwa arrived in destination country, awaiting customs clearance. Status hii ni tokea juzi. Naomba kujua kuna hatua ninazotakiwa kufanya? Anuani nilijaza ya Mwanza
 
Hapo subiri tu itafika, ila jiandae unaweza kutana na TRA . Pia jaribu kutrack kwenye web ya posta sehemu ile ya domestic items
 
Kweli kwa njia ya ndege wamekata lkn wansema ingekuwa
smartphone za inbuilt betry wanabeba

Hv battery za ndani kwa ndani na za kutoa kuna utofauti?

Wanasema uwezekano wa kulipuka kwa betri ambayo ni non-removable ni mdogo kuliko removable. Hata hao DHL wameweka kiwango maalum cha kusafirisha vifaa vyenye lithium batteries. Na kwa baadhi ya vifaa lazima bei iwe ya juu kusafirisha, maana zinahitaji matunzo maalum zikiwa kwenye ndege kuepusha ajali ya moto. Angalia attachment hapa chini inaonyesha ni bidhaa gani wanazokubali DHL.
20191103_095230.jpeg
 
Hapo subiri siku yoyote kuanzia J5 watakutumia msg ukachukue mzigo wako ila Jiandae na rungu la TRA
Wadau niliagiza simu alliexpress, kwenye parcel status nimeandikiwa arrived in destination country, awaiting customs clearance. Status hii ni tokea juzi. Naomba kujua kuna hatua ninazotakiwa kufanya? Anuani nilijaza ya Mwanza
 
Hapo subiri tu itafika, ila jiandae unaweza kutana na TRA . Pia jaribu kutrack kwenye web ya posta sehemu ile ya domestic items
Kwenye domestic items wanahitaji nijaze shipment id nmejaribu kujaza track number inaonekana hakuna taarifa yoyote. Shipment id naitoa wap? Kingine naomba kujua simu ya dola 90 TRA wanaweza kuhitaji kiasi gan cha hela? Ndio mara yangu ya Kwanza kuagizia kitu naomba mnivumilie na maswali
 
Quick Charge" ni teknolojia inayopatikana kwenye vifaa vinavyotumia Qualcomm SoCs, inafanya kazi kudhibiti nguvu ya umeme iliyotolewa na USB, kwa kuwasiliana na power supply na kuingiza kiasi stahiki cha umeme kwenye simu au kifaa kingine chochote kinachotumia USB.

Ukitumia charger ambayo inatoa umeme mkubwa zaidi kwenye simu za kisasa haiwezi kuleta madhara kwenye simu yako sababu power supply inafanya kazi ya kudhibiti kiwango cha umeme unaoingia kwenye kifaa chako.

Qualcomm fast charging technology inayofahamika kama "Quick Charge" ina matoleo matano kama ifuatavyo: quick charge 1.0, quick charge 2.0, quick charge charge 3.0, quick charge 4.0 na quick charge 4.0+. Kila toleo lina maboresho yake kwenye kiwango cha umeme kinachoingia na aina ya waya wa USB unaootumika kuingiza umeme kwenye kifaa chako.
Hapo nimezungumzia kwa ufupi teknolojia ya fast charging ya kampuni ya Qualcomm ambayo ndio simu nyingi za Xiaomi wanaitumia.
Kuna makampuni mengine wana Teknologia zao kama ifuatavyo;

Mediatek tekonojia yao wanaita Pump Express, OPPO wanaita VOOC na SuperVOOC ipo under licensed na OnePlus (kama Dash Charge na WarpCharge, Vivo (inajulikana kama Super FlashCharge))Huawei inaitwa SuperCharge, Samsung Adaptive fast charging.

Kwa watengenezaji wa hizi fast charger kuna makampuni mengi (OEM) wanatengeneza charger na inaweza kufanya kazi kwenye vifaa vinavyo support fast charging za makampuni mbalimbali, bei inatofautiana kulingana na ubora na uimara wa hiyo charger. Kama simu yako ina support fast charging inabidi uwe na fast charger pia uwe na waya wa USB unaopitisha umeme kulingana na toleo la hiyo charger yako.

Hivi Kama simu ina fast charge 18w/4.0
Unaweza tumia adapter/wire yenye 24w/3.0
Labda inatakiwa iweje wadau AU 18W/4.0 zinatakiwa inatakiwa ipate kifaa chenye namba sawa?

Pia nimeona seller wengi Wanauza adapter za fast charge bila wire cable
Je unaweza tumia adapter ya fast charge Kwenye wire cable ya kawaida (na kinyume chake) na simu ikajaa haraka kama kawaida?

Kampuni gani ina fast charger nzuri?

Asanteni

chief-mkwawa

Mr. Mobile

Mwl.RCT
 
Deep sana hii mkali
Shukrani sana umeniongezea uelewa
Quick Charge" ni teknolojia inayopatikana kwenye vifaa vinavyotumia Qualcomm SoCs, inafanya kazi kudhibiti nguvu ya umeme iliyotolewa na USB, kwa kuwasiliana na power supply na kuingiza kiasi stahiki cha umeme kwenye simu au kifaa kingine chochote kinachotumia USB.

Ukitumia charger ambayo inatoa umeme mkubwa zaidi kwenye simu za kisasa haiwezi kuleta madhara kwenye simu yako sababu power supply inafanya kazi ya kudhibiti kiwango cha umeme unaoingia kwenye kifaa chako.

Qualcomm fast charging technology inayofahamika kama "Quick Charge" ina matoleo matano kama ifuatavyo: quick charge 1.0, quick charge 2.0, quick charge charge 3.0, quick charge 4.0 na quick charge 4.0+. Kila toleo lina maboresho yake kwenye kiwango cha umeme kinachoingia na aina ya waya wa USB unaootumika kuingiza umeme kwenye kifaa chako.
Hapo nimezungumzia kwa ufupi teknolojia ya fast charging ya kampuni ya Qualcomm ambayo ndio simu nyingi za Xiaomi wanaitumia.
Kuna makampuni mengine wana Teknologia zao kama ifuatavyo;

Mediatek tekonojia yao wanaita Pump Express, OPPO wanaita VOOC na SuperVOOC ipo under licensed na OnePlus (kama Dash Charge na WarpCharge, Vivo (inajulikana kama Super FlashCharge))Huawei inaitwa SuperCharge, Samsung Adaptive fast charging.

Kwa watengenezaji wa hizi fast charger kuna makampuni mengi (OEM) wanatengeneza charger na inaweza kufanya kazi kwenye vifaa vinavyo support fast charging za makampuni mbalimbali, bei inatofautiana kulingana na ubora na uimara wa hiyo charger. Kama simu yako ina support fast charging inabidi uwe na fast charger pia uwe na waya wa USB unaopitisha umeme kulingana na toleo la hiyo charger yako.
 
Ahsante kwa soma.
Kwa redmi note 6 pro unashauri ichajiwe na fast changing gani mkuu?
Quick Charge" ni teknolojia inayopatikana kwenye vifaa vinavyotumia Qualcomm SoCs, inafanya kazi kudhibiti nguvu ya umeme iliyotolewa na USB, kwa kuwasiliana na power supply na kuingiza kiasi stahiki cha umeme kwenye simu au kifaa kingine chochote kinachotumia USB.

Ukitumia charger ambayo inatoa umeme mkubwa zaidi kwenye simu za kisasa haiwezi kuleta madhara kwenye simu yako sababu power supply inafanya kazi ya kudhibiti kiwango cha umeme unaoingia kwenye kifaa chako.

Qualcomm fast charging technology inayofahamika kama "Quick Charge" ina matoleo matano kama ifuatavyo: quick charge 1.0, quick charge 2.0, quick charge charge 3.0, quick charge 4.0 na quick charge 4.0+. Kila toleo lina maboresho yake kwenye kiwango cha umeme kinachoingia na aina ya waya wa USB unaootumika kuingiza umeme kwenye kifaa chako.
Hapo nimezungumzia kwa ufupi teknolojia ya fast charging ya kampuni ya Qualcomm ambayo ndio simu nyingi za Xiaomi wanaitumia.
Kuna makampuni mengine wana Teknologia zao kama ifuatavyo;

Mediatek tekonojia yao wanaita Pump Express, OPPO wanaita VOOC na SuperVOOC ipo under licensed na OnePlus (kama Dash Charge na WarpCharge, Vivo (inajulikana kama Super FlashCharge))Huawei inaitwa SuperCharge, Samsung Adaptive fast charging.

Kwa watengenezaji wa hizi fast charger kuna makampuni mengi (OEM) wanatengeneza charger na inaweza kufanya kazi kwenye vifaa vinavyo support fast charging za makampuni mbalimbali, bei inatofautiana kulingana na ubora na uimara wa hiyo charger. Kama simu yako ina support fast charging inabidi uwe na fast charger pia uwe na waya wa USB unaopitisha umeme kulingana na toleo la hiyo charger yako.
 
Kwenye domestic items wanahitaji nijaze shipment id nmejaribu kujaza track number inaonekana hakuna taarifa yoyote. Shipment id naitoa wap? Kingine naomba kujua simu ya dola 90 TRA wanaweza kuhitaji kiasi gan cha hela? Ndio mara yangu ya Kwanza kuagizia kitu naomba mnivumilie na maswali
Hiyo shipment ID ni ile tracking number. Kodi ni kama 22% ya bei ya kununulia. Sema huwa wanauliza bei ya kununulia ni shilingi ngapi hapo unaweza wachakachua.
 
Hiyo Tracking number toka kwa seller huwa haikubali kwenye domestic
Bali Inakubali kwenye International

kama kuna njia nyingine mnafanya ikakubali kwenye domestic tupeane ujuzi
 
Back
Top Bottom