Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Bora hata wewe ulikuta seller kaandika USD 159. Mi ilinikuta nimefika pale nikaulizwa mzigo wako thamani yke ni sh ngapi hapo nishawasiliana na manzi mmoja kutoka Xiaomi Mi store anitumie invoice, kumbe kantumia Invoice kwa ajili ya matumizi ya ofisi. Mzigo ulikuwa ni USD 181. Kuulizwa ikabidi nijiume pale nikataja thamani yake ni 250,000. Nikapigiwa hesabu ya hiyo 250,000. Ambapo nililipa kama 51,000. Kuja kupewa parcel naona seller kaandika USD 40.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]... Ukajikaanga mwenyewe mkuu.
 
Bora hata wewe ulikuta seller kaandika USD 159. Mi ilinikuta nimefika pale nikaulizwa mzigo wako thamani yke ni sh ngapi hapo nishawasiliana na manzi mmoja kutoka Xiaomi Mi store anitumie invoice, kumbe kantumia Invoice kwa ajili ya matumizi ya ofisi. Mzigo ulikuwa ni USD 181. Kuulizwa ikabidi nijiume pale nikataja thamani yake ni 250,000. Nikapigiwa hesabu ya hiyo 250,000. Ambapo nililipa kama 51,000. Kuja kupewa parcel naona seller kaandika USD 40.
😂😂😂
 
Hivi huwezi kuwaambia wafungue mzigo mbele yako waangalie hiyo bei yake juu ya parcel?
 
Wazeiya hivi ni xiaomi model ipi yenye bands zinazokubaliana na tigo?maana hizi nyingi mitandao ya bongo haziendani nazo hasa kwa upande wa internet mara isishike 4G mara hivi.
CHIEF MKWAWA
 
Me too nilichukua kwa Tsh 2350.
Seller aliweka $50.
Na description aliandika Mobile Accessory.
Tupe tricky ya kuwasiliana na selers wa alibaba atutumie mzigo wa kupitia aliexpress au kwa zile adress zilizojazwa kupitia aliexpress. Manake naona alibaba wanawahi kutuma mizigo tofauti na aliexpress na wanazingua hata kujibu sms tu.
 
Wajuvi tupeaneni mbinu za kuepukana na rungu la TRA maana nimeshaanza kuhofia kuagiza simu mtandaoni
 
Ni nzuri ila nazani wengi si wazoefu wa mediatek ingawa mediatek yake ni ya kibabe na inazidi hata Snapdragon za simu zinazopendwa kama note 7 Pro

Ila cha zaidi kwa wapenzi wa Gcam inakua shida kwa sasa kwenye note 8 pro
Vp Redmi note 8 pro,sioni watu mkiizungumzia kabisa,ipoje hii? nimeipenda internal storage yake hadi 256GB
 
Jamaa umebugi sana, natamani kushea teknik ninazotumia lakini nadhani humu vibaraka wa Posta huwa wanapita pia...
Kaa nazo hizo technical boss usimwage mtama humu maana penye mamba kenge na mijusi haikosekani.
Mi nishawadonolea kitambo na wenye kuelewa wameelewa,
Ķudadavua kwa marefu na mapana kutalifanya hili game kuwa gumu zaidi.
 
Mliofungua dispute ilichukua siku ngapi kurudushiwa pesa zenu? Kiwabho kinapungua au kinaongezeka?
 
Back
Top Bottom