Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Website gani?
Kwa alibaba ni ndani ya siku 10 seller akishaaccept

Kwa AliExpress ni ndani ya siku 6 seller akishaaccept upate hicho kiasi unachotaka!
Mliofungua dispute ilichukua siku ngapi kurudushiwa pesa zenu? Kiwabho kinapungua au kinaongezeka?
 
Kabisa mkuu, kwa maslahi mapana ya wanaoagiza mizigo yao na kuipokea bila malalamiko.

Yalianza maswali ya kichokozi mara tukaanza kupigwa 21%, kidogo kidogo imeibuka 2330 - 2500, sijajua maswali ya namna hii yakizidi sana ni tozo zipi zitatambulishwa.
Kaa nazo hizo technical boss usimwage mtama humu maana penye mamba kenge na mijusi haikosekani.
Mi nishawadonolea kitambo na wenye kuelewa wameelewa,
Ķudadavua kwa marefu na mapana kutalifanya hili game kuwa gumu zaidi.
 
Wakuu. Ukiwa umetumia Kadi ya CRDB uka cancel order je hela inarudi automatically?
 
Wakuu. Ukiwa umetumia Kadi ya CRDB uka cancel order je hela inarudi automatically?
Kwa ninavyojua Debit card refund haingii automatically, hadi uwasiliane na ban, watakupa form ya kujaza then watafanya reversal ya huo muamala.
 
Jaman kuna ndugu yangu kaletewe Note 8! Redmi na mchina wanafanya project mmoja huko mkoani. Sasa issue Ile Simu haina playstore, je kuna njia ya kufanya ili apate playstore. Maana kaniambia kachukue Kwa 350k Tu.
 
pandagichiza naomba nisaidie tafadhali,huko kwenye website hakuna matapeli? na kama wapo nitawajuaje? maana sijawahi fanya manunuzi mtandaoni.Nauliuliza hivi coz nataka nihangaike mwenyewe maana nimepata mashaka na watu ambao nilidhani watanisaidia kuninunulia.Mmoja kasema redmi note 8 mpaka mkononi itanicost 900k na mwingine kasema 597k,wakati nikipitia shuhuda za watu hapa jukwani aliyechukua kwa bei ya juu kabisa ni kama 500k naye ni kwa kuwa tu alikutana na majanga ya TRA kumwambia kodi ni 21% ya buying price.
 
Kumuagizia mtu kwa 597K inaweza ikawa sawa, inategemea specifics za simu
Pia kumbuka mwenzio yuko kibiashara, pia anabeba dhamana endapo kutatokea lolote ingawa ni mara chache kupata majanga

Cha kufanya kama unataka kuagiza mwenyewe itakubidi ukomae na vitu vidogovidogo Kwanza kwa muda fulani ili kupata uzoefu

lasivyo yapange vizuri na huyo wa 597k inaweza kua fair inategemea na ukubwa wa hiyo simu
pandagichiza naomba nisaidie tafadhali,huko kwenye website hakuna matapeli? na kama wapo nitawajuaje? maana sijawahi fanya manunuzi mtandaoni.Nauliuliza hivi coz nataka nihangaike mwenyewe maana nimepata mashaka na watu ambao nilidhani watanisaidia kuninunulia.Mmoja kasema redmi note 8 mpaka mkononi itanicost 900k na mwingine kasema 597k,wakati nikipitia shuhuda za watu hapa jukwani aliyechukua kwa bei ya juu kabisa ni kama 500k naye ni kwa kuwa tu alikutana na majanga ya TRA kumwambia kodi ni 21% ya buying price.
 
Usingeenda na simu,,[emoji16]
Nimeenda nimetoka Tsh 88734.72/-, gharama ya simu ilikuwa TSH 421000/-.. kwahyo katika calculation zao wamesema ni 21% ndio tax.
kuna jamaa mwingine yeye ametozwa kama elfu 9 kwa simu ya 19USD.

yani wakijua tu ile ni simu basi lazima wakupige cha juu.

Nimefika pale nikaulizwa hii simu ina bei gani nikasema Tsh 390,000/-(hapa nilidanganya ili nisipigwe kodi kubwa) nikaambiwa lete tuone kwenye purchase history nikafungua akaona ni 175.62USD ikaandikwa kwenye karatasi kisha ikapelekwa OFISI YA TRA, baada ya muda nikaitwa ili nipewe total tax.
 
Dawa ni kuyajenga na seller mapema kabla hajatuma hata mzgo
Bora hata wewe ulikuta seller kaandika USD 159. Mi ilinikuta nimefika pale nikaulizwa mzigo wako thamani yke ni sh ngapi hapo nishawasiliana na manzi mmoja kutoka Xiaomi Mi store anitumie invoice, kumbe kantumia Invoice kwa ajili ya matumizi ya ofisi. Mzigo ulikuwa ni USD 181. Kuulizwa ikabidi nijiume pale nikataja thamani yake ni 250,000. Nikapigiwa hesabu ya hiyo 250,000. Ambapo nililipa kama 51,000. Kuja kupewa parcel naona seller kaandika USD 40.
 
Sure mkuu Shida hapa support ya Mediatek kwa developer ni sifuri..hasa Gcam na custom os
Ni nzuri ila nazani wengi si wazoefu wa mediatek ingawa mediatek yake ni ya kibabe na inazidi hata Snapdragon za simu zinazopendwa kama note 7 Pro

Ila cha zaidi kwa wapenzi wa Gcam inakua shida kwa sasa kwenye note 8 pro
 
pandagichiza naomba nisaidie tafadhali,huko kwenye website hakuna matapeli? na kama wapo nitawajuaje? maana sijawahi fanya manunuzi mtandaoni.Nauliuliza hivi coz nataka nihangaike mwenyewe maana nimepata mashaka na watu ambao nilidhani watanisaidia kuninunulia.Mmoja kasema redmi note 8 mpaka mkononi itanicost 900k na mwingine kasema 597k,wakati nikipitia shuhuda za watu hapa jukwani aliyechukua kwa bei ya juu kabisa ni kama 500k naye ni kwa kuwa tu alikutana na majanga ya TRA kumwambia kodi ni 21% ya buying price.
Majanga niliyowahi kutana nayo katika kununua bidhaa aliexpress;
1.nilinunua simu used haikumaliza hata mwezi ikazima nikapeleka kwa mafundi haikuwezekana
2.bidhaa kuchelewa zaidi muda,nikadai refund nikarudishiwa hela yangu
Sidhani kama kuna matapeli ila yataka moyo kusubiri,unaweza pata mzigo baada ya wiki 2 au miezi yaani mpaka unasahau
Aliexpress vitu ni cheap sana
Sijawahi kutana na rungu la tra
 
Naona kadri tunavyopiga kelele posta nao wanakuja na mapya.
Kwanza tusishee sensitive info hapa. Ikiwepo hiyo ya kodi.

Pili unapoweka order wale mnaolalamika mawasiliano, kuna sehemu ya kumpa seller ujumbe, hivyo anapo process order yako anaprocess kwa maelezo uliompa.

Mwambie kabisa juu andika kiasi fulani.

Pia kwanini mtu akikwambia tuone bei ulionunulia usimwambie nimenunuliwa na mtu au sijanunua kwa app hivyo siwezi pna tena bei? All in all mpe seller maelezo yako.
 
Jaman kuna ndugu yangu kaletewe Note 8! Redmi na mchina wanafanya project mmoja huko mkoani. Sasa issue Ile Simu haina playstore, je kuna njia ya kufanya ili apate playstore. Maana kaniambia kachukue Kwa 350k Tu.
Jinsi ya kuweka Google Play kwenye Simu za Xiaomi

Unatakiwa kukubali simu yako ipokee apps kutoka unknown sources, halafu unatakiwa ku install Google services zinazohitajika ili kuifanya simu yako ipokee apps za Google.

●Fungua 'Settings app'
●Nenda 'Additional settings'
●Fungua 'Privacy'
●Badili kwa kuweka 'Unknown sources'
●Fungua Mi App Store
●Search 'Google'
●Install app ya juu kabisa iliyotokea
●Itakapomaliza ku install ifungue
●Bonyeza duara kubwa la bluu kwenye screen
●Installer itafunguka na itaendelea kufanya installation ya baadhi ya services zinazohitajika: Google services framework, Google Account Manager, Google Play Services, Google Calendar Sync, Google Contacts Sync, na hatimaye Google Play Store. Fanya ku install kila moja unapoelekezwa
●Punde itakapomalizika ku install Play Store ifungue
●Ingiza anuani yako ya Gmail na password na ukubali permissions
●Google Play sasa imewekwa kwenye simu yako, na unaweza ku install apps kutoka hapa kama vile unavyofanya kwenye simu yoyote.

Courtesy of the Tech Advisor
install-google-xiaomi-1600_thumb800.jpeg
 
Jinsi ya kuweka Google Play kwenye Simu za Xiaomi

Unatakiwa kukubali simu yako ipokee apps kutoka unknown sources, halafu unatakiwa ku install Google services zinazohitajika ili kuifanya simu yako ipokee apps za Google.

●Fungua 'Slettings app'
●Nenda 'Additional settings'
●Fungua 'Privacy'
●Badili kwa kuweka 'Unknown sources'
●Fungua Mi App Store
●Search 'Google'
●Install app ya juu kabisa iliyotokea
●Itakapomaliza ku install ifungue
●Bonyeza duara kubwa la bluu kwenye screen
●Installer itafunguka na itaendelea kufanya installation ya baadhi ya services zinazohitajika: Google services framework, Google Account Manager, Google Play Services, Calendar Sync, Google Contacts Sync, na hatimaye Google Play Store. Fanya ku install kila moja unapoelekezwa
●Punde itakapomalizika ku install Play Store ifungue
●Ingiza anuani yako ya Gmail na password na ukubali permissions
●Google Play sasa imewekwa kwenye simu yako, na unaweza ku install apps kutoka hapa kama vile unavyofanya kwenye simu yoyote.

Courtesy of the Tech AdvisorView attachment 1285334
Asante mdogo wangu.
 
Jaman kuna ndugu yangu kaletewe Note 8! Redmi na mchina wanafanya project mmoja huko mkoani. Sasa issue Ile Simu haina playstore, je kuna njia ya kufanya ili apate playstore. Maana kaniambia kachukue Kwa 350k Tu.
Ndio ipo unapata playstore

Hii yangu mwenyewe ni chinesse version lakini niliweka playstore
 
pandagichiza naomba nisaidie tafadhali,huko kwenye website hakuna matapeli? na kama wapo nitawajuaje? maana sijawahi fanya manunuzi mtandaoni.Nauliuliza hivi coz nataka nihangaike mwenyewe maana nimepata mashaka na watu ambao nilidhani watanisaidia kuninunulia.Mmoja kasema redmi note 8 mpaka mkononi itanicost 900k na mwingine kasema 597k,wakati nikipitia shuhuda za watu hapa jukwani aliyechukua kwa bei ya juu kabisa ni kama 500k naye ni kwa kuwa tu alikutana na majanga ya TRA kumwambia kodi ni 21% ya buying price.
China plaza zipo in stock
IMG-20191208-WA0006.jpeg
 
Back
Top Bottom