Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nauza pocophone f1 yangu. Nimetumia miezi 6 tu. Niliagiza China. Nataka nibadili ninunue redmi note. Bei 600,000 nakupa na mi band 3 yake, cover aina mbili (soft ba hard) na glass protector 3. Simu hii ni kiboko kwenye internet. Njoo inbox
Jaribu kucheki fantacy technology yupo AliExpress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiruka kihunzi Cha TRA?
Wakuu status ya mzigo wangu inaonyesha umezuiwa na Watu wa TRA ,uliingia toka 24/12/2019, Jana ndio update ikaonyesha" Held by customs" . Je watanijulisha kiasi cha kodi au mpaka nifuatilie? Na km kufuatilia nafuatilia posta au TRA? Plse wanaofahamu utaratibu
 
Pole tusichoke hapo bado, subiri hadi utakapo pata status ya "released by customs"

Siku chache baadae utatumiwa msg kwenye simu yako ukijulishwa ufuate mzigo wako

Mzigo utachukulia posta dirisha la TRA na malipo ya kodi utajulishwa siku utakayochukua mzigo wako

Kumbuka kodi ni 22% ya bei ya manunuzi

Asante nashukuru kwa ufafanuzi, nimefumaniwa safari hii aina ujanja
 
ACTIVE GROUP LIPO TELEGRAM
WATUMIAJI WOTE WA BRANDS ZA XIAOMI MNAKARIBISHWA SANA.

Tumia LINK HII
[emoji1484]

SangaweJr
Group limekaa kiboya Sana!!
Wamenichomoa mule bila ya sababu za msingi
 
Hatimaye nimepokea mzigo
Ni baada ya siku 25 tangu nilipie
hongera sana mkuu yangu inaonyesha ipo kwenye local distribution center....nasubiri tu kuitwa na watu wa posta
Ndani ya siku 2 utapata ujumbe
Na iwe hivyo...na nilimuomba seller antumie invoice declaration ili ikitokea changamoto ya kodi za TRA nipambane nao...!!!
 
Back
Top Bottom