pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Anazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazo
Hongera kwa kuleta mzigo Mpya, bei pia ni reasonable Sana kwa mteja, Haylou ni nzuri sana deep bass, overall sound signature sio mbaya piaView attachment 1324392
haya wadau Earphones kama Mi dots ila hz ni bora zaid nshaleta tz piece chache wahi mapema ... 0744897276
bado najipanga kuwaletea Mi band 4
Sent from my iPhone using JamiiForums
Vipi redmi air dot?Hongera kwa kuleta mzigo Mpya, bei pia ni reasonable Sana kwa mteja, Haylou ni nzuri sana deep bass, overall sound signature sio mbaya pia
Shida yake tu kwanza ni nzito masikioni, ukizitumia kwa muda mrefu utakapo zivua bado utahisi kama kuna zigo sikioni !!
Shida ya pili ni hazina volume control yani zinategemea source software sound control
Tws kwa sasa haziepukiki mana ndo game ya mjini, hasa kwa sisi Ma audiophiles pori, nina decent wired headphones, lakini kupata simu yenye drivers za kulifanya itoe sauti nzuri ni mtihani, simu nyingi hazina kipaumbele kwenye sound drivers, ila ukipata Tws unakuwa umemaliza tatizo
Ila ukimaliza huo mzigo wako nistue nukuelekeze Tws za kununua na uta kimbiza mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo sijatumia, ila niliona hazina reviews nzuri kwa wenye kujua muziki, nikaamua kuachana nazo. Haylou gt1 soundwise haiko mbaya sana, ila Kuna Tronsmart tws tafuta spunky beat pro
Hongera kwa kuleta mzigo Mpya, bei pia ni reasonable Sana kwa mteja, Haylou ni nzuri sana deep bass, overall sound signature sio mbaya pia

Hapo kuna mara mbili, kwa biashara jaribu tronsmart onyx neo,apt x, type c charging box ni nyepesi na Zina volume control, hiyo spunky beat pro, nimekushauri kama unatumia mwenyeweyeah ndio nimetoka ku research izo tronsmart ntazileta sema bei yake ipo juu kdogo haiwez kuwa sawa na hizo haylou na redmi ..naona kama bei yake ni double
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongera kwa kuleta mzigo Mpya, bei pia ni reasonable Sana kwa mteja, Haylou ni nzuri sana deep bass, overall sound signature sio mbaya pia
Shida yake tu kwanza ni nzito masikioni, ukizitumia kwa muda mrefu utakapo zivua bado utahisi kama kuna zigo sikioni !!
Shida ya pili ni hazina volume control yani zinategemea source software sound control
Tws kwa sasa haziepukiki mana ndo game ya mjini, hasa kwa sisi Ma audiophiles pori, nina decent wired headphones, lakini kupata simu yenye drivers za kulifanya itoe sauti nzuri ni mtihani, simu nyingi hazina kipaumbele kwenye sound drivers, ila ukipata Tws unakuwa umemaliza tatizo
Ila ukimaliza huo mzigo wako nistue nukuelekeze Tws za kununua na uta kimbiza mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kuna mara mbili, kwa biashara jaribu tronsmart onyx neo,apt x, type c charging box ni nyepesi na Zina volume control, hiyo spunky beat pro, nimekushauri kama unatumia mwenyewe
Sent from my BKK-AL10 using Tapatalk
Inategemea na brand, pamoja na volume utakayotumia kusikilizia music, haylou gt1 nimeona masaa manne ila tronsmart masaa 5