Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Adjustments.JPG
Adjustments.JPG

Nauza Mi note 4
170k tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Adjustments.JPG
    Adjustments.JPG
    408.2 KB · Views: 2
Wakuu kuna mtu kajaribu karibuni eg mwezi huu wa 3 kununua mzigo aliexpress na ukafika au corona ni kikwazo kwa ishu ya mipaka? Kuna mzigo nataka kununua.
 
Nilitaka kuagiza simu yangu juzi lkn nahofia, ngoja nijitoe muhanga kesho niagize kitu chochote Cha Bei ndogo kwanza nitakupa majibu
Wakuu kuna mtu kajaribu karibuni eg mwezi huu wa 3 kununua mzigo aliexpress na ukafika au corona ni kikwazo kwa ishu ya mipaka? Kuna mzigo nataka kununua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimenunua flash na earphone, track number inawahi tu ila Kuna hatua ikifika mizigo haitembei, tarehe ya makaridirio ya kufika inaongezeka kila siku. Ilibid nipokee mzigo ndan ya mwez huu sasa hiv nimeandikiwa Kati ya 12-25 mwez wa nne ndo utafika
Nilitaka kuagiza simu yangu juzi lkn nahofia, ngoja nijitoe muhanga kesho niagize kitu chochote Cha Bei ndogo kwanza nitakupa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu xiaomi Indian version nikiichukua inabidi niiflash tena
 
Back
Top Bottom