Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

wakuu nina ii mi pad 4 nauza laki mbili na nusu
IMG_3286.jpg

IMG_3288.jpg
 
Attachments

  • IMG_3287.png
    IMG_3287.png
    118.2 KB · Views: 5
Chief-Mkwawa

Kuna mtu anauza Samsung

Samsung S9 300,000/-
Samsung S9+ 360,000/-
Samsung note 8 360,000/-

Ni used zile zenye kidoti kwenye kioo.
Vipi hiyo bei ni kubwa au ipo poa?

Na ipi kati ya hizo ya kuchagua kwa ubora kuliko nyingine.

Msaada wako mkuu.
 
S9+ itakuwa nzuri zaidi, ila ni refurb mkuu, Tena zina kidoti, unless unajua unacho nunua ni vyema kuachana nazo.

Nunua Xiaomi redmi note 10, ina Amoled nayo utapata display nzuri na perfomance pia si haba.
 
Na kwa kuongezea tu leo kuna sell simu ziko kwenye mapunguzo makubwa tu ! S kwingine ni huko duniani kazi kwenu
 
S9+ itakuwa nzuri zaidi, ila ni refurb mkuu, Tena zina kidoti, unless unajua unacho nunua ni vyema kuachana nazo.

Nunua Xiaomi redmi note 10, ina Amoled nayo utapata display nzuri na perfomance pia si haba.
Asante mkuu kwa ushauri mzuri
 
Nahitaji Xiaomi redmi note 9S,nipo Morogoro,kwa anayejua sehemu zinakouzwa naomba kuelekezwa
 
Note 10 ni 420 plus kwa kenya aliexpress ni kuanzia 460 plus bongo wanauza 560 mpka 6
Note kwamba bei ya kenya ni kwa mi official store ya kenya sio avech au kwingine na mi band 5 ikiwa included till stock last
Mkuu Chief napata wapi hiyo simu mpaka Kenya?
 
Naipataje mkuu,please nielekeze duka au jinsi ya kuorder
Mkuu Chief napata wapi hiyo simu mpaka Kenya?
Kwa kenya na iona hapa around 18k ksh ambayo ni around 390,000 tsh.

Pia kwa China Aliexpress.

Hawa avechi walikuwa wanatuma TZ, waka stop kipindi cha Corona sijui kama wamerudisha huduma.
 
Safi inazidi shuka price ya juzi hio mie nilibuy 366k alie kwa punguzo sema nilinunua mbili moja ya mtu na yang ya jamaa 'yake imefika yangu bado naiman wiki hii .Hongkong goldway store bado ako na ofa na pia kenya sio mbali ifike kipnd tunamchangia mtu anaenda kuleta ili ashikwe vizur na TRA
 
MI mwenyewe naona ni opportunity, mtu alie Kenya anaweza kuanzisha biashara ya ku post hizi mambo, kuna vitu vingi sana vya Electronic Kenya kwa bei reasonable.
 
Back
Top Bottom