Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Xiaomi Redmi 10C kama utanunua Bongo
Kama utaagiza AliExpress kuna
Xiaomi Redmi Note 10 5G
Xiaomi Redmi 10
Xiaomi Poco M5
Xiaomi Redmi Note 11 4G
Hizo simu mentioned bei yake ina range vipi maana kimeo changu kilipotea nikachukua tekno, yaani balaa kwa matangazo na kuja application za ajabu ajabu za ku-bust betri etc (unafanya kazi ya ku-ignore
 
Ipo hivi, kwa Tanzania simu mpya bora zaidi kwa laki 3 na nusu ni Xiaomi Redmi 10C, hakuna brand nyingine utakuta wana simu current nzuri kuliko hii kwa 350000/=
Bei za Tanzania kwa Redmi Note 11 ni 450000 kwa 4GB RAM na 64GB ROM na 550000 kwa 6GB RAM na 128GB ROM
Lakini ukiagiza China kupitia AliExpress bei ni ndogo zaidi mfano Redmi Note 10 5G na Redmi 10 za 4GB RAM na 128GB ROM ni around 320000/= na Xiaomi Redmi Note 11 ya 4GB RAM na 64GB ROM ni 367000/= Pia kuna Xiaomi Poco M5 ya 4GB RAM na 64GB ROM kwa around 330000/=
Kwa hiyo ikiwa unataka kujua ni simu gani ambayo inakufaa ni vyema ukataja bei yako na sehemu ya kununua aidha Bongo au nje, then naweza kujibu direct swali lako
Hii hapa ni Redmi Note 10 5G

View attachment 2517182
 
Redmi Note 10 5G
Screenshot_20230213-202557~2.jpg
 
Nikiwa fresh nitarudi
 
TZS 271,075.13 50%OFF | Global ROM Xiaomi Redmi Note 9 6G 128GB Smartphone Snapdragon 662 48MP AI Camera 6.53&quot FHD DotDisplay 6000mAh Battery
View attachment 2518022
Mkuu ni vizuri kusort by: Order Ili uweze kupata simu ambazo zimeuza sana na zina positive reviews nyingi.
Redmi Note 9 ni nzuri lakini inatia wasiwasi kuona labda only 70 sold
Chagua seller aliyeuza sana kama Goldway, YouGeek, etc unakuta zaidi ya 1000sold
Screenshot_20230215-093724.jpg
 
Mkuu ni vizuri kusort by: Order Ili uweze kupata simu ambazo zimeuza sana na zina positive reviews nyingi.
Redmi Note 9 ni nzuri lakini inatia wasiwasi kuona labda only 70 sold
Chagua seller aliyeuza sana kama Goldway, YouGeek, etc unakuta zaidi ya 1000soldView attachment 2518045
Mkuu Global Rom ndio Global Version?
Nini tofauti yake?
 
Lengo langu ni kumonyesha simu bora kulingana na bajet yake. Suala atanunulia wapi hiyo ni yeye mwenyewe, bila shaka kwa bajet yake hiyo ndio simu bora zaidi.
 
Mkuu Global Rom ndio Global Version?
Nini tofauti yake?
Ndio ni Global version, hizo simu nilizoziweka hapo ni Global version zote kwa hiyo zinasupport bands nyingi za network, zina Google Play services na zinasupport multiple languages
Lakini Chief alisema kuna baadhi ya simu ni Chinese ROM halafu wanaweza kuflash kuwa Global ROM ila network bands zinabaki zilezile za Kichina
 
Ok, asante sana kwa kunielewesha
 
hivi xiaomi huwa wanaoffa options ya hide sms na call mfano mke wako akaichukua asikute sms au hata nikitumiwa asiweze ona chochote mpk mm nifungulie kwa code.
 
Jamani nahitaji Xiaomi mi 10 Ultra..... Au Xiaomi 11 pro
Ni vyema uagize AliExpress ili upate kwa bei rahisi, kama ni Bongo basi kuna hawa jamaa Instagram wanajiita Simu hub, wanauza simu za Xiaomi. Wanadai duka lao lipo China Plaza ghorofa ya pili na linaitwa hivyo hivyo Simuhib, kwa hiyo nenda mwenyewe China Plaza.
Bei zao hizi[emoji116][emoji116]
Screenshot_20230217-090838.jpg
Screenshot_20230217-090854.jpg
Screenshot_20230217-090900.jpg
Screenshot_20230217-090922.jpg
Screenshot_20230217-090932.jpg
Screenshot_20230217-090941.jpg
Screenshot_20230217-090947.jpg
 
Nataka kununua Redmi 10c (4/64GB) nahitaji review kwa waliowahi /wenye hiyo simu kabla sijainunua
 
Back
Top Bottom