Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Fanya vyote Ila usilogwe hzi simu uka_update software , utajutaaa
 
* Kabla hauja-update simu yako hakikisha umeandaa mazingira safi kuruhusu update. Kwa mfano jitahidi ku-clear RAM na kuondoa cache data zote kwenye simu. Pia futa vitu visivyo na msingi kwako na uhakikishe simu Ina storage ya kutosha. Mtandao uwe strong na epuka mabando ya kuungaunga wakati wa MIUI update
  • Uki-update simu yako sometimes inakuwa na lags kwa sababu simu inajaribu kuji-adjust ili iweze kumudu mabadiliko ya software mpya kwa hiyo mambo mengi kwenye update yanakuwa hayajajiset vizuri. Cha kufanya ukimaliza tu ku-update software kabla hujaanza kuitumia simu yako ipige Factory Reset kwanza ili changes zote ziwe reset. Then ndio uanze kutumia simu yako. Hii inasaidia sana
  • Unless kama bado lags zinakusumbua then jaribu ku-roll back software update. Yaani rudi kwenye software ya nyuma.
  • MIUI updates zina umuhimu sana kwa mfano MIUI 14 ime-improve image processing kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na MIUI 13. Kwa hiyo uki-update kwenda MIUI 14 camera performance itaongezeka
 
Nataka kununua Redmi 10c (4/64GB) nahitaji review kwa waliowahi /wenye hiyo simu kabla sijainunua
Mi natumia 10c (4/128)
Ni simu nzuri
Ipo fasta
Fast charging
Inakaa na chaj
Camera ni ya kawaida sio ya maajabu
Internet ipo poa sana
Kwenye gaming iko poa
Haichemki
Nimeangusha mara kibao na ipo imara bado

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Chief-Mkwawa Chief, nataka kubadilisha Wi-fi network kuwa ethernet, ni router gani inaweza kunisaidia kutimiza hili.
 
Nafkiri router karibia zote zina Lan (hio Ethernet) unachomeka tu cable
images.jpeg-32.jpg

Unless una vile vi mifi
 
Nafkiri router karibia zote zina Lan (hio Ethernet) unachomeka tu cable View attachment 2527844
Unless una vile vi mifi
Asante sana. yah nina kimifi. Nina swali hivi nikitumia router inayotumia line au kudaka wireless then nikatumia cable je, itaifanya network kuwa stable? Na swali la mwisho, hivi ethernet internet mfano kama wakisema speed yake ni 10mbs, huwa haichezi hata nikifanya speed test itasoma hizo hizo? Maana kuna majamaa nataka kupiga nao kazi wananilazimisha niwe na ethernet internet nilitaka kuvuta ya ttcl ila sasa mimi mtu wa kusafiri safiri hwezi kunisaidia ndiyo maana nawaza kuconvert superkasi into ethernet.
 
Mkuu Ethernet haitakusaidia kama Source haipo stable, ukiwa na Hizi router zetu za Ovyo ovyo na Fiber huwa Ethernet inasaidia.

Ushauri tumia Mifi na USB cable badala ya Wifi, Usb cable itaplay same role kama Ethernet na hakutakuwa na penalty ya latency.

Pia kwa nchi hii kupata best possible speed hakikisha mifi ina mimox2 na Lte advance 300mbps+
 
Unajua nachohitaji ni 10mbs download speed na 5 mbs upload speed. Halafu ntaweka my desk jamaa wa IT access pc yangu kukagua hayo mambo sasa najiuliza nikitumia usb si atagundua kiwa namdanganya?
 
Unless mtaalam sana hawezi jua. Maana Usb tethering ni Virtual Ethernet, huwa inasoma kama Ethernet kwenye pc. As long as unayo hiyo speed sioni tatizo.
 
Na mkuu sababu wanataka Ethernet ina maana kwa ping ni muhimu sana, kama una fiber karibu vyema utumie kwenye interview
 
Ni kweli kabisa, akitumia GCAM ataongeza ubora wa kamera halafu ataelewa hizo 50MP zimewekwa hapo kwa kazi gani.

Budget line: TSH 500,000 max.

Naweza pata Mi (au Redmi) phone yenye 8gb RAM with 6000MAh battery?

-Kaveli-
 
Mkuu Chief-Mkwawa ,

Sidhani
Kama ukiagiza AliExpress unaweza kupata Xiaomi Redmi Note 10 Pro ya (8GB RAM 128GB ROM) lakini battery ni 5000mAh
Ukinunua Bongo unapata Xiaomi Redmi Note 11 ya (6GB RAM 128GB ROM) au Xiaomi Redmi Note 10S ya (6GB RAM 128GB ROM) ila zote hizi zina 5000mAh battery.
Pia unaponunua simu usiangalie sana RAM, angalia mambo muhimu kwenye peformance kama chipset, GPU n.k
Kiufupi angalia SoC nzuri kisha RAM utachagua baadae, kuna simu zina 8GB RAM ila peformance ni utumbo tu ila nilizokutajia hapo kwa bei yake peformance ipo poa.
 
Thanks kwa reply na ushauri. Kwa mazingira nilipo, 'uwezo wa battery' na 'perfomance' ndivyo vya kuzingatia kwanza.

So Xiaomi yenye 6000 mAh & perfomance nzuri... inaanzia bei tsh ngapi?

Kwa kweli Xiaomi zenye 6000mAh sizijui, ila naijua moja tu "Redmi 9T" ambayo ina 6000mAh lakini sikushauri ununue hiyo kwa sababu performance yake ni ya kawaida tu inayoendana na bei yake, kwa Bongo around 380000/= hivi.
Ingawa Xiaomi Redmi Note 11 ina 5000mAh ila inatunza chaji sana kwa sababu chipset yake ni very power efficient kwa hiyo inakula chaji taratibu. So ni tofauti na simu nyingine nyingi zenye 5000mAh, So bado ninashauri Redmi Note 11

Pia kama hilo suala la mAh linakupa sana shida, basi tafuta simu kutoka brand nyingine mfano Samsung Galaxy M51 ambayo ina 7000mAh. Ingawa sijajua bei yake bado.
Ila kwa laki 5 ninashauri Redmi Note 11 hata kama haina 6000mAh
 
Back
Top Bottom