Wale wote wanaotumia dildos wanafanya dhambi ya masterbation

wanaongonoka kabla ya Ndoa, ambao ndiyo wengi zaidi
hawapo kwenye dhambi siyo 😬 😬
 
Alosema punyeto dhambi nani?

Uzi
 
Halafu kitanda usichokilalia huwajui kunguni Wake
 
Eeh ati papai hii nchi πŸ‘‹ wanaume hawa wote jamani papai la kazi gani? Dah bongo!!

Mimi naamini kabisa kuna wanaume wengi tu hata hapa bongo, wamelelewa vizuri tu, wanamcha Mungu.
Wanaume hawa ninao waongelea hawatanunua roboti la elon watabaki na sisi.
 
Reactions: 511
Wale watu wanatafita furaha zao.
Unapotumia neno dhambi kwa muktadha huu..
Dhambi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…