Walekwa wenye maarifa ya uchumi na siasa,japo kidogo tusaidiane hili!!!!! Welcome.........

Walekwa wenye maarifa ya uchumi na siasa,japo kidogo tusaidiane hili!!!!! Welcome.........

Arnold Ndosi

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
65
Reaction score
3
NINASHANGAA NCHI YETU INA2MIA NOTI ZA AINA MBILI KWA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NA HAKUNA UFAFANUZI WALA SABABU ZILIZOTOLEWA. ETI, HAYA SI MAUJANJA YA WANASIASA KWELI???? NAONA KAMA NI KUBADILISHWA KWA FEDHA, HII IMECHUKUA TASWIRA YA KIPEKEE!!!!!!! KWA NINI SISI NDO TUNABADILISHA FEDHA KILA SIKU LAKINI MATAIFA MENGINE HASA YALE MAKUBWA HAYABADILISHI???. KAMA KUNA MTU MWENYE UFAFANUZI WA KINA JUU YA HAYA NAOMBA ATOE ILI NIPATE KUFAHAMU. samahanini sana nimeuliza swali la kiuchumi kwenye jukwaa la elimu, hata hivyo ninategemea nitajibiwa kiundani
.....,
 
Back
Top Bottom