samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
yaani hali hii imekuwa kawaida hasa kipindi hiki utakuta vijana pochi imenenepa sasa akifunua hiyo waleti humo kumejaa mikaratasi ,risiti za kuuliza salio ,sijui na vikadikadi ,vitambaa nini ilmradi kurushana roho.lazima kunyooshwa tu ukata huu balaa