Walevi hatupendagi ujinga kabisa

Walevi hatupendagi ujinga kabisa

granitized

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
3,249
Reaction score
7,948
Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko.
Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:
*MUME*: Fungua mlango!
*MKE*: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako.
*MUME*: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa.
*MKE*. Kufa huna faida yoyote duniani!
*MUME* kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo chubwiiiiiii!
MKE kajifunga kanga, kafungua mlango. Ghafla mume kaingia ndani na kumfungia mke nje.
*MKE*: Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani waje.
*MUME*: Piga kelele na wakija uwambie unakotoka usiku huu na khanga moja.
 
Ha ha ha mke na ye angetishia anaenda kwa mchepuko ungeona kama pombe zisingeisha😀😀😀
 
Back
Top Bottom