WALEVI NA KIOO

mbwana semsimbazi

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
196
Reaction score
202
Walevi wawili waliokota kioo,
mlevi wa 1 akakiangalia kwa muda mrefu kisha akasema
"hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..!

Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema
"wee kweli huna akili si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…