Walevi tukutane hapa.

Walevi tukutane hapa.

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
pombe tunakunywa kwa starehe. ila kina mda matatizo. sasa kama mimi siwezi lala bila kugida. nipolewa nitaona mpk marehemu wachawi misitu na wanyama wakutisha.tuambie yako
af0dc5269d3af7039be8d8ccb2a64022.jpg
 
Maloki!Ha ha ha!Aaahaaa!Niambie naona unagemuka unaendeleza libeneke!
 
Pombe naipenda sana maana ilifanya niwe na ujasiri wa kuwa hapa nilipo sababu ya pombe

Konyagi
 
Wote waliocoment hapa utawajua tu ila vyuma vimekaza mhudumu nipe Senetar ya 1000 ya baridi itapendeza zaidi
 
Jamaa kashalewa ata alicho andika hakisomeki [emoji1373][emoji1373]
 
Jana nimepiga Smirnof Extra X1 aisee huu mzigo ni balaa.. Nimetoka namwaga jasho kama nina malaria vile
 
Back
Top Bottom