Walevi tupo makini kinoma!!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Hakuna mtu makini kana sisi walevi wakati wa kuvuka barabara.... kwanza tunaangalia kushoto na kulia kama kuna magari/pikipiki tunaangalia juu kama kunadenge[emoji574][emoji573][emoji573][emoji573] ...kisha tunaaangalia chini kama kuna mabomu yametegwa tunaangalia nyuma kama kunamtu anataka kutukaba tunashikilia Bia vizuri kwa umakini kisha tunavuka barabara kwa zigzag kukwepa risasi......[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂[emoji124]‍♂
 
Mim si mlevi ila nimwahi siti ya mbele nisubir walev waje.
 
Tukumaliza kuvuka, kisha tuna jilamba midomo na kisha tunatema mate kushoto alafu tunayafukia hayo mate upande wa kilia, kabla ya kufumba macho na kikata mafundo kadhaa...... ndipo tunaendelea na safari
Sijaona mnapoachia mdomo wazi mh mjumbe..
 
Ndugu mjumbe, wakati wa kulala sisi walevi ndipo tunaacha mdomo wazi, na data mende/nzi waki ingia kinywani huwa tunawatafuna na kumeza...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Walevi hata alewe vipi, kama ubongo wake toka awali beki zinakaba, mara nyingi ataamka ktk kitanda chake asubuhi kisha ndo anaanza kukagua milango kama ipo locked. Na kweli Hua hivyo isipokuwa atabaki anavuta memory ilikuwaje Jana.
 
Tukumaliza kuvuka, kisha tuna jilamba midomo na kisha tunatema mate kushoto alafu tunayafukia hayo mate upande wa kilia, kabla ya kufumba macho na kikata mafundo kadhaa...... ndipo tunaendelea na safari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenithibitishia pasipo shaka kuwa wewe ni mlevi uliyekubuhu!
 
Imebaki simulizi mkuu, nilisha amua kwa dhati kabisa kupumzika pombeni..[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Jasiri haachi asili nitakuja Ushirombo unipe mbinu zaidi za kuvuka barabara kubwa kama hizo za ubungo mataa maana ninampango wa kulitembelea jiji kongwe siku si nyingi
 
Tukumaliza kuvuka, kisha tuna jilamba midomo na kisha tunatema mate kushoto alafu tunayafukia hayo mate upande wa kilia, kabla ya kufumba macho na kikata mafundo kadhaa...... ndipo tunaendelea na safari
Nnachoshukuru ht nikilewa huwa makini sana!hii ni kulingana na kipindi naanza kulewa najikausha nisishtukiwe hom!yaani hata nilewe vp huwez kunijua nakauka siongei kbs
 
Nnachoshukuru ht nikilewa huwa makini sana!hii ni kulingana na kipindi naanza kulewa najikausha nisishtukiwe hom!yaani hata nilewe vp huwez kunijua nakauka siongei kbs
Mkuu, wewe tayari umesha haribu sifa yetu walevi.....
Mlevi haishi nyumbani kwao aiseeee.... , unakwama wapi.....[emoji53] [emoji53] [emoji45] [emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…