adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
Hakuna mtu makini kana sisi walevi wakati wa kuvuka barabara.... kwanza tunaangalia kushoto na kulia kama kuna magari/pikipiki tunaangalia juu kama kunadenge[emoji574][emoji573][emoji573][emoji573] ...kisha tunaaangalia chini kama kuna mabomu yametegwa tunaangalia nyuma kama kunamtu anataka kutukaba tunashikilia Bia vizuri kwa umakini kisha tunavuka barabara kwa zigzag kukwepa risasi......[emoji124]♂[emoji124]♂[emoji124]♂[emoji124]♂[emoji124]♂[emoji124]♂